top of page
Image-empty-state.png

Dkt. Charles Wambura Nyaitara /MD

Medical doctor II (General)

Ni daktari mzoefu kutibu magonjwa kwenye idara ya kinamama na upasuaji na watoto kitengo cha wagonjwa wa kisukari haswa kwenye mambo ya elimu na ushauri wa tiba na chakula kwa wagonjwa hao.

Dkt Charles pia amejikita kutoa huduma za Tiba majumbani kwa kutumia programu maalumu ya ULY CLINIC Home based care kwenye mkoa wa Iringa,

Omba tiba kwa daktari huyu kupitia application ya ULY CLINIC kwa kubonyeza neno lililoandikwa "Pakua app ya uly clinic" kisha kumchagua daktari huyu kutoka mkoa wa iringa.

bottom of page