top of page
Image-empty-state.png

Dkt. Peter Allute/MD

Medical Doctor (General)

Ni daktari mzoefu kutibu magonjwa ya watoto, akina mama, magonjwa ya tiba, kisukari, Presha, magonjwa nyemelezi kwa walioathirika na HIV pamoja, upasuaji, na tiba ushauri kwa watu wenye uzito mkubwa na namna ya kupunguza uzito.
Ingawa daktari huyu anapatikana mkoa wa Kagera Tanzania huduma zake za ushauri na tiba unaweza kuzipata popote ulipo Tanzania.

Omba tiba kutoka kwa daktari huyu kupitia application ya ULY CLINIC kwa kubonyeza neno lililoandikwa "Pakua app ya uly clinic" au kupitia neno la "Pata Tiba" chini ya tovuti hii

bottom of page