top of page
© Hairuhusiwi kukopi bila kibali cha ULYCLINIC

Anatomia

Anatomia katika makala hii imetumika kumaanisha maumbile mbalimbali ya viungo vya binadamu. Bonyeza soma zaidi ili kusoma maumbile ya kiungo ulichochagua

Anatomia ya Sikio

Anatomia ya Sikio

Sikio

Ni ogani muhimu mwilini yenye kaziya kufanya mtu asikie sauti na piakufanya mtu awe wima (asiyumbe) wakatiwa kutembea.

Anatomia ya Uume

Anatomia ya Uume

Ni ogani ya kiume inayotumika kwezesha matendo mawili ya kutoa mkojo nje ya mwili pamoja na tendo la kujamiana. UUme huchukuliwa kama ogani muhimu sana katika uzalianaji.

Anatomia ya Moyo

Anatomia ya Moyo

Ni ogani ambayo inatumika katika kusukuma damu kwenda sehemu mbalimbali za mwili . Moyo husukuma damu kwenda maeneo mbalimbali ya mwili kwa kutumia mtandao wa mishipa mbalimbali ya damu inayoitwa ateri na Veini.

bottom of page