top of page
Imeandikwa na daktari wa ulyclinic
Anemia
Anemia ni neno lililotokana na neno la kigiriki anaimia linalomaanisha “kutokuwa na damu mwilini” hivyo anemia hutumika kumaanisha upungufu wa damu mwilini.
Upungufu huu hupimwa kwa kuangalia kiwango cha hemoglobin kulingana na umri wa mtu na jinsia yake. Anemia inaweza kuwa ya nomositiki, maikrositiki na makrositiki kutokana na visababishi. Soma Zaidi kuhusu anemia kwenye tovuti hii.
Soma zaidi kuhusu upungufu wa damu kwa kubonyeza hapa
Muulize daktari wako endapo una dalili hii kwa ushauri, uchunguzi na tiba
Imeboreshwa 10.03.2020
Rejea
-
Dictionary.com. imetolewa kwenye nakala ya awali siku ya 14 Julai 2014. Na kupitiwa tena 7 July 2019.
-
Ulyclinic
bottom of page