top of page

Imeandikwa na daktari wa ulyclinic

 

Anoreksia

Anoreksia limetokana na neno la kizungu anorexia lililotoholewa kutoka neno la kigiriki “anorexis”, neno “an-” lina maanisha bila, na neno “orexis” hamu ya kula likatengeneza neno la bila hamu ya kula au likijulikana sana tatizo la kukosa hamu ya kula.

Anoreksia ni dalili inayoweza kusababishwa na hali  au magonjwa mbalimbali mwilini. Lakini kikubwa ni saratani, magonjwa sugu na magonjwa ya madhaifu ya kula.

Muulize daktari wako endapo una dalili hii kwa ushauri, uchunguzi na tiba

Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri vipimo na tiba bonyeza hapa au piga namba za simu chini ya tovuti hii.

Imeboreshwa 10.03.2020

 

Rejea

  • Ulyclinic

  • Oxford English dictionary

bottom of page