top of page

Imeandikwa na daktari wa ulyclinic

 

Asaitiz

Asaitiz ni neno la Kiswahili lililotokana na neno la kigiriki askites

Katika tiba, neno hili humaanisha mkusanyiko wa maji kwenye caviti ya peritoniamu. Inawezekana maji yametokana na matatizo ndani ya peritoniamu (kama kusababishwa na magonjwa ya bakteria, fangazi, na parasait), saratani ya asaitizi) na magonjwa mengine kama endometriosisi, au peritonaitis ya wanga) na magonjwa mengine nje ya caviti ya peritoniamu kama vile sirosisi, moyo kufeli, haipoalbuminemia, mayoksidima na magonjwa ya ovari mfano sindromu ya Meig.

 

Muulize daktari wako siku zote endapo una dalili hii kwa ushauri, uchunguzi na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote mwenyewe

Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri vipimo na tiba bonyeza hapa au piga namba za simu chini ya tovuti hii.

Imeboreshwa 10.03.2020

Rejea

  1. Oxford dictionary

  2. Ulyclinic

bottom of page