Imeandikwa na daktari wa ULY CLINIC
Chunusi (asin)
Asin (Chunusi) ni tatizo linalowapata vijana kwenye kipindi cha barehe na hivyo huesabika kuwa moja ya dalili ya kupevuka kwa kijana.
Neno Asin limetokana na neno la kigiriki acme yaani “Kipindi cha kuvuma katika maisha” na hivyo neno la kizungu linatumika kama acne kumaanisha chunusi.
Vijana wenye chunusi wanahitaji matibabu ili kurekebisha mwonekano wao kwa jinsi wanavyoona inafaa.
Chunisi ni nini?
Chunusi hutengenezwa kutoka kwenye tezi ya Ngozi iitwayo sebashazi, tezi hii huwa karibu na kuambatana na shina la nywele linalozalisha nywele kwenye uso, shimo la sikio, mgongoni, kifuani, na kwenye maeneo ya njia ya haja kubwa. Hata hivyo tezi hii hupatikana kwenye kope, gozi la uume, na shingo ya uzazi ambapo maeneo hayo haiambatani na mashina ya nywele.
Tezi ya sebashazi huwa na chembechembe zinazozalisha Mafuta aina ya traigraiselaidi. Fati asidi na waksi na sebam.
Mabadiliko yanayofanya kutengenezwa kwa chunusi ni:
Kutokea kwa chunisi huambatana na kuharibika kwa uzalishaji wa hivi vitu vilivyotajwa au kutokana na kuongezeka kwa bakteria aitwaye Propionibacteria kwenye njia ya njwele. Hata hivyo michomo kwenye tezi hii na vishimo vya nywele vinaweza kusababisha kutokea kwa chunusi, michomo hii inatokana na vimen’genya mbalimbali vinavyotolewa na bakteria.
Wasiliana na daktari wa ngozi wa ULYC LCINIC kwa matibabu kwa kubonyeza hapa
Jisajisi kwa ktumia barua pepe(email yako) kuendelea kusoa zaidi kuhusu
Maana, Visababishi, Vihatarishi, Aina za chunusi, Matibabu, Pata tiba