Imeandikwa na ULY CLINIC
1 Machi 2021, 08:56:33
Kuchuruzika udenda
Kutokwa na udenda ni ishara ya kushindwa kumeza mate inayotokana na kuferi kufanya kazi au kupooza kwa misuli ya uso au madhaifu ya mfumo wa fahamu inayoongoza ufanyaji kazi wa misuli ya usoni na mara chache sana kwa sababu ya matumizi ya dawa au sumu aina fulani zinazoongeza uzazlishaji wa mate katika kinywa.
Udenda unaweza kutoka kidogo sana, na wakati mwingine mtu anawez akuchuruzika hadi lita moja kwa siku. Watu wanaotokwa na udenda wana ya udenda kuingia kwenye mfumo wa upumuaji na hivyo kupata nimonia.
Visabaishi
Ugonjwa wa kifafa
Kichaa cha mbwa
Matumizi ya baadhi ya dawa
Kupooza kwa misuli ya uso(Bell’s palsy)
Saratani ya mrija wa esophagial
Kiharusi
Ugonjwa wa Parkinson’s
Kumeza sumu ya dawa za kuulia wadudu
Angina ya Ludwig’s ig’s
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia namba za simu au kwa kubonyeza 'Pata tiba' chini ya tovuti hii
Imeboreshwa,
7 Februari 2022, 19:31:27
Rejea za mada hii
1. Basic infection control and prevention plan for outpatient oncology settings. http://www.cdc.gov/hai/pdfs/guidelines/basic-infection-control-prevention-plan-2011.pdf. Imechukuliwa 27.03.2021
2. Guide to infection prevention for outpatient settings: minimum expectations for safe care.
http://www.cdc.gov/HAI/settings/outpatient/outpatient-care-guidelines.html. Atlanta, GA: Centers for Disease Control and Prevention, 2011.