Imeandikwa na ULY CLINIC
26 Februari 2021, 14:54:45
Kuongezeka uzito kwa kasi
Kuongezeka kwa uzito kwa kasi kunaweza sababishwa na kuongezeka kwa misuli, maji au mafuta mwilini.
Kuongezeka kwa misuli kwa kawaida huonekana ni kawaida, utumiaji au ongezeko la mafuta mwilini huonekana kama matokeo ya lishe isiyofaa au ukosefu wa mazoezi.
Visababishi
Urithi na maumbile makubwa
Kutumia baadhi ya dawa za vidonge uzazu
Magonjwa ya figo ambayo husababisha mwili kujaa maji
Kusababishwa pia na kula kupita kiasi
Mfumo mbaya wa maisha
Mabadiliko ya mfumo wa homoni
Kukosa mazoezi
Kutozingatia lishe sahihi
Ujauzito
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia namba za simu au kwa kubonyeza 'Pata tiba' chini ya tovuti hii
Imeboreshwa,
7 Februari 2022, 19:32:39
Rejea za mada hii