Imeandikwa na ULY CLINIC
26 Februari 2021, 13:54:06
Kupoteza uwezo wa kuona
Kutokuona au kuwa kipofu ni hali ya kupoteza uwezo wa kuona vizuri kutokana na sababu za kifiziolojia au zinazo husiana na mishipa ya neva.
Vitu vinavyo weza msaidia mtu kuona mfano maumbo ya vitu vilivyo mbali au ya karibu ni pamoja na glasi za macho zenye lenzi za bandia na marekebisho ya upasuaji kwa jicho.
Visbabishi
Kulege kwa mishipa ya siliari inayo shika lenzi ya jicho
Glaucoma -husababishwa na shinikizo kubwa kutoka kwa maji ndani ya jicho
Kuumia kwa macho
Maambukizi kwenye macho
Hali uzee [umri kuwa mkubwa]
Kupigwa na mionzi mikali ya mwanga mfano mionzi ya jua
Ugonjwa wa trakoma
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia namba za simu au kwa kubonyeza 'Pata tiba' chini ya tovuti hii
Imeboreshwa,
7 Februari 2022, 19:35:48
Rejea za mada hii
1. Adams, A.J., Wong, L.S., Wong, L., and Gould, B. (1988). Visual acuity changes with age: Some new perspectives. American Journal of Optometry and Physiological Optics , 65(5), 403-406. [PubMed]
2. Adams, R.J., and Courage, M.L. (1996). Monocular contrast sensitivity in 3-to 36-month-old human infants. Optometry and Vision Science , 73(8), 546-551. [PubMed]
3. Adams, R.J., and Courage, M.L. (1993). Contrast sensitivity in 24- and 36-month-olds as assessed with the contrast sensitivity card procedure. Optometry and Vision Science , 70(2), 97-101. [PubMed]