top of page

Dawa asilia za binadamu


Dawa asilia ni dawa ambazo zinatokana moja kwa moja kwenye mimea mbalimbali inayopatikana duniani. Uasilia wa dawa hizi ni kwa sababu hazijabadilishwa na kuwa kwenye fomu ya dawa za kigeni.

DUTIULY01

DUTIULY01 ni dawa asilia inayofanya kazi ya kutibu maambukizi kwenye njia ya mkojo au UTI.

Dawa asili ya UTI

UBXY12 ni dawa asilia inayofanya kazi ya kutibu UTI, dawa hii imetengenezwa kutoka kwenye matunda ya mmea unaofahamika kisayansi kama Vaccinium oxycoccos.

ULYALOPEC01

ULYALOPEC01 ni dawa asili ya kupaka inayotokana na viini vilivyo kwenye vitunguu maji, swaumu, kahawa, binzari, mdalasini na mafuta ya mzeituni. Dawa hii ni asili na haina kemikali.

bottom of page