top of page
Ugonjwa na dawa
Kurasa hii utajifunza kuhusu dawa na ugonjwa unaotibiwa na dawa hiyo. Wasiliana na daktari wako kabla ya kutumia dawa yoyotee ile ili kuepuka madhara na usugu wa dawa mwilini mwako. Kumbuka siku zote kuwa dawa ni sumu kwenye mwili wako endapo haitatumika bila ushauri wa daktari

Dawa za kuzuia kutapika safarini
Dawa nyingi zilizoorodheshwa hapa zinatumika kwa watu wenye miaka 12 na zaidi na zina uwezo wa kutofautiana. Inashauriwa kutumia dawa nusu saa au saa limoja kabla ya safari kwa ufanisi zaidi na pia unaweza kurudia dozi nyingine baada ya masaa 8 hasi 12 ikitegemea aina ya dawa uliyotumia.
bottom of page