Mwandishi:
Dkt. Sospeter M, MD
Mhariri:
Dkt. Lugonda B, MD
4 Juni 2022 20:56:39
Dawa clarithromycin
Clarithromycin ni dawa ya antibayotiki kundi la macrolide inayotumika sana kutibu magonjwa mbalimbali kutokana na maambukizi ya bakteria wanaodhuriwa na dawa hii.
Majina mengine ya clarithromycin
Clarithromycin hufahamika kwa majina ya kibiashara kama:
Biaxin
Biaxin XL
Uzito na fomu ya clarithromycin
Clarithromycin hupatikana kama, kimiminika kwa ajili ya kunywa na kama kidonge.
Kimiminika huwa na uzito ufuatao:
125/5ml
250mg/5ml
Kidonge huwa na uzito ufuatao:
250mg
500mg
Dawa kundi moja na clarithromycin
Dawa zingine zilizo kundi moja na clarithromycin ni zile ambazo huwa kundi macrolide ni kama vile:
Erythromycin
Roxithromycin
Azithromycin
Vimelea wanaodhuriwa na clarithromycin
Vimelea wanaodhuliwa/kuuliwa na clarithromycin ni pamoja na:
Haemophilus influenza
Streptococcus pneumonia
Streptococcus pyogenes
Streptococcus agalactiae
Moraxella catarrhalis
Neisseria gonorrhoeae
H. Pylori
Campylobacter spp
Bacteroides melaninogenicus
Chlamydia pneumonia
Chlamydia trachomatis
Mycobacterium chelonae
Mycobacterium leprae
Mycobacterium marinum
Mycobacterium avium complex
Legionella spp.
Clarithromycin hutibu nini?:
Clarithromycin hutibu magonjwa yafuatayo yanayosababishwa na bakteria wanaodhuriwa na dawa hii:
Brokaitizi kali iliyoamka
Sinuzaitizi katika fupa maxilla
Maambukizi ya bakteria wa TB na ukoma
Ukoma
Maambukizi ya bartenolla
Ugonjwa wa Lyme
Vidonda vya tumbo kutokana na maambukizi ya H.pylori
Maambukizi kwenye tonses na koo
Nimonia ya jamii
Maambukizi kwenye ngozi
Dondakoo
Maambukizi kwenye kuta za ndani ya moyo
Homa ya ubongo kutokana na Toxoplasma gondii
Ugonjwa wa cryptosporidiosis
Namna clarithromycin inavyofanya kazi
Clarithromycin hufanya kazi kwa kuzuia uzalishaji wa protini muhimu za ujenzi wa bakteria wanaodhurika na dawa hii na hivyo kufanya kutoendelea kuzaliana kwa bakteria.
Wagonjwa wasiopaswa kutumia clarithromycin
Clarithromycin haipaswi kutumika kwa wagonjwa wenye mzio na clarithromycin.
Tahadhari inapaswa kuchukuliwa kwa wagonjwa wenye matatizo ya figo na wale wenye historia ya manjano baada ya kutumia dawa hii.
Matumizi ya clarithromycin na pombe
Clarithromycin huwa haina mwingiliano na pombe, unaweza kutumia clarithromycin na pombe, hata hivyo usitumie kiasi kikubwa cha pombe ili kuepuka maudhi ya kichefuchefu na kutapika. Pombe kwa ujumla huwa haishauriwi kutumika wakati wa kunywa dawa kutokana na kuweza kupunguza nguvu mwilini na kufanya uchelewe kupona kupona.
Ufyonzwaji wa clarithromycin
Mara baada ya kunywa dawa asilimia 50 tu ya dawa hufyonzwa na kuingia kwenye damu kwa ajili ya kufanyakazi yake.
Matumizi ya clarithromycin na chakula
Chakula huchelewesha ufyonzaji licha ya kutoathiri kiwango cha dawa kinachofyonzwa
Utoaji taka mwilini
Asilimia 30 hadi 55 ya dawa hutolewa kwa njia ya mkojo.
Nusu maisha ya clarithromycin
Clarithromycin mara baada ya kuingia kwenye damu, hudumu kwa muda wa saa 3 hadi 9 kabla ya kutolewa nje ya mwili.
Matumizi ya clarithromycin kwa mama mjamzito
Hakuna taarifa za kutoshaza kutolea maamuzi kuhusu madhara ya dawa hii kwenye ujauzito. Hata hivyo haishauriwi kutumika kwa mjamzito.na kama itatumika, faida zinapaswa kuwa kubwa kuliko madhara yanayoweza kujitokeza.
Matumizi ya clarithromycin kwa mama anayenyonyesha
Kiasi kidogo cha dawa huingia kwenye maziwa ya mama na hivyo kusababisha maudhi kidogo kama kuharisha, kukosa hamu ya kula na sononeko. Unapofanya uamuzi wa kutumia dawa hii, faida zinapaswa kuwa kubwa kuliko madhara yanayoweza kujitokeza kwa mtoto.
Maudhi ya clarithromycin
Maudhi yanayotokea sana
Kichefuchefu
Kutapika
Kuhara
Kubadilika kwa ladha ya chakula
Kupanda kwa kiwango cha BUN
Harara kwenye ngozi
Kiungulia
Maumivu chembe ya moyo
Maumvu ya kichwa
Ongezeko la muda wa kupanda prothrombin
Maudhi ya nadra
Mzio wa anafailaksia
Kukosa hamu ya kula
Wago uliopitiliza
Kizunguzungu
Gesi tumboni
Ongezeko la kiwango cha vimeng’enya vya ini
Kuhisi vitu ambavyo havipo
Kushuka kwa sukari mwilini
Kuumia kwa ini
ongezek
ongezeko la creatinine kwenye damu
Upungufu wa chembe nyeupe za damu
Kuumia kwa kongosho
Saikosis
Tabia za kupaniki
Degedege
Manjano
Sindromu ya Stevens-Johnson
Upungufu wa chembe sahani za damu
Je endapo utasahau dozi ya clarithromycin ufanyaje ?
Kama umesahau kutumia dozi yako, tumia mara utakapokumbuka isipokuwa endapo muda wa kunyw adozi nyingine umefika ambapo utapaswa kusubilia muda ufike ndipo utumie dozi hiyo na kuendelea kama ulivyoshauriwa na daktari wako. Usitumie dozi mbili kwa wakati mmoja.
Uhifadhi ya clarithromycin
Hifadhi dawa yako katika joto la ndani ya nyumba kati ya nyuzi za selishaz 20 hadi 30. Usiweke kwenye friji au sehemu yenye mwanga wa jua au joto ili kuepuka kuharibu dawa.
Dawa zisizopaswa kutumika na clarithromycin
Dawa zifuatazo hazipawi kutumika pamoja na clarithromycin kwa kuwa husababisha madhara makubwa:
Alfuzosin
Chloroquine
Cisapride
Clofazimine
Cobimetinib
Conivaptan
Dihydroergotamine
Dihydroergotamine intranasal
Dofetilide
Eliglustat
Ergoloid mesylates
Ergonovine
Ergotamine
Finerenone
Flibanserin
Ibutilide
Indapamide
Ivabradine
Lomitapide
Lonafarnib
Lovastatin
Lurasidone
Mavacamten
Methylergonovine
Naloxegol
Pacritinib
Pentamidine
Pimozide
Quinidine
Regorafenib
Rifabutin
Saquinavir
Simvastatin
Venetoclax
Voclosporin
Dawa zenye mwingiliano mkali na clarithromycin
Dawa zifuatazo zina mwingiliano mkali na clarithromycin kiasi cha kutopaswa tumika pamoja:
Abametapir
Acalabrutinib
Ado-trastuzumab emtansine
Afatinib
Almotriptan
Alprazolam
Amiodarone
Amisulpride
Amitriptyline
Amoxapine
Anagrelide
Antithrombin alfa
Antithrombin iii
Apalutamide
Apomorphine
Aprepitant
Argatroban
Aripiprazole
Arsenic trioxide
Artemether
Artemether/lumefantrine
Asenapine
Atomoxetine
Atorvastatin
Avanafil
Avapritinib
Axitinib
Bazedoxifene/conjugated estrogens
Bcg vaccine live
Bedaquiline
Bemiparin
Bivalirudin
Bosutinib
Brigatinib
Bromocriptine
Budesonide
Buprenorphine
Buprenorphine transdermal
Buspirone
Cabazitaxel
Cabergoline
Cabozantinib
Calcitriol
Carbamazepine
Ceritinib
Chloroquine
Chlorpromazine
Cholera vaccine
Cilostazol
Cinacalcet
Ciprofloxacin
Citalopram
Clomipramine
Clopidogrel
Clozapine
Cobicistat
Colchicine
Conjugated estrogens
Conjugated estrogens, vaginal
Copanlisib
Cortisone
Crizotinib
Cyclosporine
Dabrafenib
Dalteparin
Daridorexant
Darifenacin
Dasatinib
Degarelix
Desflurane
Desipramine
Deutetrabenazine
Dexamethasone
Diazepam
Digoxin
Disopyramide
Dofetilide
Donepezil
Doxepin
Dronedarone
Droperidol
Edoxaban
Efavirenz
Elbasvir/grazoprevir
Eletriptan
Eliglustat
Eluxadoline
Elvitegravir/cobicistat/emtricitabine/tenofovir df
Encorafenib
Enoxaparin
Entrectinib
Enzalutamide
Epinephrine
Epinephrine racemic
Erdafitinib
Ergoloid mesylates
Ergotamine
Eribulin
Erlotinib
Erythromycin base
Erythromycin ethylsuccinate
Erythromycin lactobionate
Erythromycin stearate
Escitalopram
Estradiol
Estrogens conjugated synthetic
Estropipate
Etonogestrel
Etravirine
Everolimus
Fedratinib
Felbamate
Fentanyl
Fentanyl intranasal
Fentanyl transdermal
Fentanyl transmucosal
Fesoterodine
Fexinidazole
Fingolimod
Fluconazole
Fludrocortisone
Fluphenazine
Fluticasone intranasal
Fluvastatin
Fondaparinux
Formoterol
Fosamprenavir
Fostemsavir
Gadobenate
Gemifloxacin
Gilteritinib
Glasdegib
Granisetron
Haloperidol
Heparin
Hydrocortisone
Hydroxychloroquine sulfate
Hydroxyprogesterone caproate
Ibrutinib
Idelalisib
Imipramine
Indinavir
Infigratinib
Inotuzumab
Irinotecan
Irinotecan liposomal
Isoflurane
Isradipine
Itraconazole
Ivosidenib
Ixabepilone
Ketamine
Ketoconazole
Lapatinib
Larotrectinib
Lefamulin
Lemborexant
Levoketoconazole
Lithium
Lofepramine
Lofexidine
Loperamide
Lopinavir
Loratadine
Lorlatinib
Lumacaftor/ivacaftor
Lumefantrine
Lurbinectedin
Macimorelin
Macitentan
Maprotiline
Mefloquine
Mestranol
Methadone
Methylergonovine
Methylprednisolone
Midazolam
Midazolam intranasal
Midostaurin
Mifepristone
Mirtazapine
Mobocertinib
Modafinil
Moxifloxacin
Nefazodone
Nelfinavir
Neratinib
Nevirapine
Nilotinib
Nortriptyline
Octreotide
Octreotide (antidote)
Olanzapine
Olaparib
Ombitasvir/paritaprevir/ritonavir
Ombitasvir/paritaprevir/ritonavir & dasabuvir (dsc)
Ondansetron
Osimertinib
Oxaliplatin
Oxycodone
Palbociclib
Panobinostat
Pazopanib
Pemigatinib
Perphenazine
Pexidartinib
Phenindione
Pimavanserin
Pitolisant
Pomalidomide
Ponatinib
Ponesimod
Pralsetinib
Prednisone
Primaquine
Procainamide
Prochlorperazine
Progesterone intravaginal gel
Progesterone micronized
Progesterone, natural
Promazine
Promethazine
Propafenone
Protamine
Protriptyline
Quetiapine
Quinidine
Quinupristin/dalfopristin
Ranolazine
Repaglinide
Ribociclib
Rifabutin
Rimegepant
Ritonavir
Rivaroxaban
Romidepsin
Rosuvastatin
Ruxolitinib
Ruxolitinib topical
Saquinavir
Selpercatinib
Selumetinib
Sertraline
Sevoflurane
Sildenafil
Silodosin
Siponimod
Sirolimus
Solifenacin
Sonidegib
Sorafenib
Sotalol
Stiripentol
Sunitinib
Suvorexant
Tacrolimus
Tadalafil
Talazoparib
Tamsulosin
Tazemetostat
Temsirolimus
Teniposide
Tepotinib
Tetrabenazine
Theophylline
Thioridazine
Tiagabine
Tipranavir
Tofacitinib
Tolterodine
Tolvaptan
Topotecan
Toremifene
Trabectedin
Trazodone
Triamcinolone acetonide injectable suspension
Triazolam
Triclabendazole
Trifluoperazine
Trimipramine
Tucatinib
Typhoid vaccine live
Ubrogepant
Umeclidinium bromide/vilanterol inhaled
Vandetanib
Vardenafil
Vemurafenib
Venetoclax
Venlafaxine
Vilanterol/fluticasone furoate inhaled
Vilazodone
Vorapaxar
Voriconazole
Vorinostat
Voxelotor
Voxilaprevir
Zanubrutinib
Ziprasidone
Dawa zenye mwingiliano wa wastani na clarithromycin
Dawa zifuatazo endapo zitatumika pamoja na clarithromycin, mgonjwa anapaswa kuwa kwenye uangalizi wa karibu wa mtaalamu wa afya:
Abemaciclib
Albuterol
Alfentanil
Alfuzosin
Alosetron
Amikacin
Amitriptyline
Amlodipine
Apalutamide
Arformoterol
Armodafinil
Atazanavir
Atogepant
Azithromycin
Balsalazide
Bazedoxifene/conjugated estrogens
Bedaquiline
Belzutifan
Benzhydrocodone/acetaminophen
Berotralstat
Betrixaban
Bexarotene
Biotin
Bortezomib
Bosentan
Brentuximab vedotin
Brexpiprazole
Bromocriptine
Budesonide
Buprenorphine
Buprenorphine
Calcifediol
Cannabidiol
Capmatinib
Cariprazine
Cefdinir
Cefditoren
Cefoxitin
Cefpodoxime
Cefuroxime
Cenobamate
Ceritinib
Cevimeline
Chlordiazepoxide
Chlorpropamide
Cholic acid
Ciclesonide
Cimetidine
Clevidipine
Clonazepam
Clorazepate
Conjugated estrogens
Conjugated estrogens
Cortisone
Crizotinib
Crofelemer
Cyclosporine
Dabigatran
Dabrafenib
Dapsone
Darolutamide
Darunavir
Dasatinib
Daunorubicin
Deferasirox
Deflazacort
Dexamethasone
Diazepam
Dienogest/estradiol valerate
Digoxin
Diltiazem
Disopyramide
Docetaxel
Dolasetron
Donepezil
Doravirine
Doxepin cream
Doxorubicin
Doxorubicin liposomal
Dronabinol
Dutasteride
Duvelisib
Efavirenz
Elagolix
Elvitegravir
Elvitegravir/cobicistat/emtricitabine/tenofovir df
Encorafenib
Enfortumab vedotin
Enzalutamide
Eplerenone
Erlotinib
Erythromycin base
Erythromycin ethylsuccinate
Erythromycin lactobionate
Erythromycin stearate
Estradiol
Estrogens conjugated synthetic
Estrogens esterified
Estropipate
Eszopiclone
Ethinylestradiol
Etoposide
Eucalyptus
Ezogabine
Fedratinib
Felodipine
Finasteride
Flecainide
Fludrocortisone
Fluoxetine
Flurazepam
Fluticasone furoate
Fluvoxamine
Foscarnet
Fostamatinib
Galantamine
Gefitinib
Gemtuzumab
Gentamicin
Glecaprevir/pibrentasvir
Glimepiride
Glipizide
Glyburide
Goserelin
Guanfacine
Histrelin
Hydrocodone
Hydrocortisone
Hydroxyzine
Ifosfamide
Iloperidone
Imatinib
Indacaterol
Indinavir
Isoniazid
Isradipine
Istradefylline
Itraconazole
Ivacaftor
Ivermectin
Ketoconazole
Lacosamide
Lansoprazole
Lapatinib
Lenvatinib
Letermovir
Leuprolide
Levalbuterol
Levamlodipine
Levofloxacin
Levoketoconazole
Levomilnacipran
Levonorgestrel /ethinylestradiol/ferrous bisglycinate
Loperamide
Lumacaftor/ivacaftor
Lumateperone
Maraviroc
Marijuana
Medroxyprogesterone
Mestranol
Methadone
Methylprednisolone
Mifepristone
Mitotane
Mometasone
Montelukast
Naldemedine
Nateglinide
Nelfinavir
Neomycin po
Netupitant/palonosetron
Nicardipine
Nifedipine
Nilotinib
Nimodipine
Nintedanib
Nirmatrelvir
Nirmatrelvir/ritonavir
Nisoldipine
Nitrendipine
Ofloxacin
Oliceridine
Olodaterol
Osilodrostat
Osimertinib
Ospemifene
Oxaliplatin
Oxybutynin
Ozanimod
Paclitaxel
Paliperidone
Panobinostat
Pantothenic acid
Parecoxib
Paricalcitol
Paromomycin
Paroxetine
Pasireotide
Pazopanib
Perampanel
Pimozide
Pioglitazone
Piperacillin
Pitavastatin
Polatuzumab vedotin
Posaconazole
Pravastatin
Praziquantel
Prednisolone
Prednisone
Propafenone
Pyridoxine
Pyridoxine (kiuaji sumu)
Quazepam
Quetiapine
Quinine
Rabeprazole
Ranolazine
Rifabutin
Rifampin
Rifaximin
Rilpivirine
Riociguat
Ripretinib
Risperidone
Ritonavir
Romidepsin
Rosiglitazone
Rucaparib
Sacubitril/valsartan
Salmeterol
Saquinavir
Saxagliptin
Selpercatinib
Silodosin
Sirolimus
Sodium picosulfate/magnesium oxide/anhydrous citric acid
Sofosbuvir/velpatasvir
Sorafenib
St john's wort
Stiripentol
Streptomycin
Sufentanil
Sufentanil sl
Sulfamethoxazole
Tacrolimus
Tacrolimus ointment
Tamoxifen
Tasimelteon
Tazemetostat
Tecovirimat
Telavancin
Teniposide
Terbinafine
Tezacaftor
Thiamine
Ticagrelor
Tinidazole
Tisotumab vedotin
Tobramycin
Tolazamide
Tolbutamide
Tolvaptan
Tramadol
Trimethoprim
Trimipramine
Triptorelin
Tropisetron
Ulipristal
Umeclidinium bromide/vilanterol inhaled
Upadacitinib
Valbenazine
Valsartan
Velpatasvir
Venlafaxine
Verapamil
Vilanterol/fluticasone furoate inhaled
Vinblastine
Vincristine
Vincristine liposomal
Vinorelbine
Voclosporin
Voriconazole
Warfarin
Zidovudine
Ziprasidone
Zonisamide
Dawa zenye mwingilino mdogo na clarithromycine
Dawa zifuatazo huwa na mwingiliano mdogo sana na clarithromycin
Aliskiren
Alvimopan
Ambrisentan
Amobarbital
Amoxicillin
Ampicillin
Apixaban
Aprepitant
Armodafinil
Artemether/Lumefantrine
Atazanavir
Bosentan
Budesonide
Butabarbital
Butalbital
Chlorpropamide
Conivaptan
Cortisone
Cyclosporine
Darifenacin
Darunavir
Dasatinib
Dexamethasone
Dhea
Dicloxacillin
Dronedarone
Efavirenz
Eslicarbazepine Acetate
Ethinylestradiol
Etravirine
Fexofenadine
Fluconazole
Fludrocortisone
Fosamprenavir
Fosphenytoin
Ganaxolone
Grapefruit
Griseofulvin
Hydrocortisone
Indinavir
Ixazomib
Lapatinib
Loratadine
Lumefantrine
Marijuana
Methylprednisolone
Metronidazole
Miconazole
Nafcillin
Nelfinavir
Nevirapine
Nifedipine
Nilotinib
Oxacillin
Oxcarbazepine
Penicillin G Aqueous
Penicillin Vk
Pentobarbital
Phenobarbital
Phenytoin
Pivmecillinam
Posaconazole
Prednisone
Primidone
Quinupristin/Dalfopristin
Ramelteon
Rifapentine
Ritonavir
Rufinamide
Secobarbital
Temocillin
Theophylline
Ticarcillin
Topiramate
Valproic Acid
Verapamil
Voriconazole
Zafirlukast
Zaleplon
Zolpidem
ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
4 Juni 2022 20:57:49
Rejea za mada hii:-