Mwandishi:
Dkt. Sospeter M, MD
Mhariri:
Dkt. Lugonda B, MD
28 Machi 2021 09:51:20
Dawa Rifapentine
Ni dawa ya antibiotic jamii ya macrolactams, inayotumika katika matibabu ya TB, dawa hii huzuia kimeng’enya polymerase kufanya kazi katika utengenezaji wa DNA ya baadhi ya seli isipokuwa seli za wanyama. Dawa hii huwa maarufu kwa jina jingine la priftin
Uzito na fomu ya rifapentine
Dawa hii hupatikana kama kidonge chenye uzito wa gramu 150
Matumizi ya rifapentine
Hutumika kwa ajili ya matibabu ya Kifua kikuu. Kwa sababu ya kuzuka kwa usugu wa vimelea wa maradhi kwenye dawa, dawa hii imeachwa kutumika kutibu maambukizi ya mycobacterial wanaosababisha kifua kikuu.
Namna rifapentine inavyofanya kazi
Huzuia kimeng’enya cha polymerase kianchofanya kazi ya kuzalisha DNA, kiungo muhimu cha seli ya bakteria. Kwa kufanya hivi huzuia uzalianaji wa bakteria. Dawa hii ina uwanja mkubwa wa kutibu maambukizi ya bakteria wa gramu chanya na gramu hasi ikiwa pamoja na bakteria Pseudomonas aeruginosa na haswa Mycobacterium tuberculosis.
Kutokana na ufanyaji kazi wake, dawa hii huzuia utengenezaji na pia kuua bakteria ambao wameshatengenezwa’
Ufyonzaji wa dawa rifapentine
Dawa hii hufyonzwa haraka mara inapoingia kwenye mfumo wa chakula
Vimelea wanaodhuriwa na rifapentine
Mycobacterium tuberculosis
Mycobacterium avium complex
Mwingiliano wa rifapentine na chakula
Rifapentine ni nzuri endapo itatumiwa pamoja na chakula, kwani chakula huongeza ufyonzwaji wa dawa hii. Ili kupunguza maudhi ya dawa kwenye mfumo wat umbo, inashauriwa itumike pamoja na chakula. Unaweza kupasua kidonge na kuchanganya na chakula au uji mzito kisha kunywa.
Wagonjwa wasiopaswa kutumia rifapentine
Wagonjwa wenye mzio na dawa jamii ya rifamycin hawapaswi kutumia dawa hii
Utoaji taka wa rifapentine mwilini
Asilimia 87 ya dawa hutolewa kwa njia ya mkojo, na asilimia zinazobaki hutoka kwa njia ya haja kubwa.
Matumizi ya rifapentine kwa mama mjamzito
Kwa maelezo zaidi soma kwenye Makala ya madhara rifapentine katika ujauzito ndani ya tovuti ya ULY CLINIC
Matumizi ya rifapentine wakati wa kunyonyesha
Haifahamiki zaidi endapo dawa hii inaingia kwenye maziwa ya mama na hivyo kumpata mtoto. Hata hivo dawa hii hufanya maziwa yaonekane kuwa na rangi ya machungwa. Kwa maelezo zaidi soma kwenye Makala ya madhara rifapentine wakati wa kunyonyesha ndani ya tovuti ya ULY CLINIC
Mwingiliana wa rifapentine na dawa zingine
Mwingiliano mkali hazipaswi kutumika pamoja na rifapentine
Abemaciclib
Acalabrutinib
Alpelisib
Apremilast
Artemether/lumefantrine (ALU)
Atazanavir
Avapritinib
Axitinib
Bedaquiline
Bictegravir
Bosutinib
Brigatinib
Cabozantinib
Cariprazine
Ceritinib
Chanjo hai ya BCG
Chanjo ya taifodi
Cobimetinib
Copanlisib
Dabrafenib
Darolutamide
Darunavir
Deflazacort
Dienogest/estradiol valerate
Dihydroergotamine
Dihydroergotamine ya kuweka puani
Doravirine
Dronedarone
Duvelisib
Elbasvir/grazoprevir
Eliglustat
Elvitegravir
Elvitegravir/cobicistat/emtricitabine/tenofovir DF
Erdafitinib
Ergotamine
Erythromycin base
Erythromycin ethylsuccinate
Erythromycin lactobionate
Erythromycin stearate
Ethinylestradiol
Etravirine
Everolimus
Fedratinib
Fosamprenavir
Fostamatinib
Fostemsavir
Glasdegib
Ibrutinib
Idelalisib
Indinavir
Irinotecan
Irinotecan liposomal
Istradefylline
Ivabradine
Ivacaftor
Ivosidenib
Ixazomib
Larotrectinib
Ledipasvir/sofosbuvir
Lefamulin
Lemborexant
Lonafarnib
Lorlatinib
Lovastatin
Lumacaftor/ivacaftor
Lumefantrine
Lurasidone
Lurbinectedin
Macimorelin
Macitentan
Mestranol
Midostaurin
Naldemedine
Naloxegol
Nelfinavir
Neratinib
Netupitant/palonosetron
Norethindrone
Norethindrone acetate
Norethindrone ya kuchoma kwenye ngozi
Olaparib
Ombitasvir/paritaprevir/ritonavir & dasabuvir
Osimertinib
Ozanimod
Palbociclib
Panobinostat
Pemigatinib
Perampanel
Pexidartinib
Pomalidomide
Ponatinib
Pralsetinib
Praziquantel
Pretomanid
Ranolazine
Regorafenib
Rilpivirine
Rimegepant
Ripretinib
Ritonavir
Roflumilast
Rolapitant
Romidepsin
Saquinavir
Selumetinib
Silodosin
Simvastatin
Siponimod
Sirolimus
Sofosbuvir
Sofosbuvir/velpatasvir
Sonidegib
Stiripentol
Tazemetostat
Tepotinib
Tezacaftor
Tipranavir
Tivozanib
Tolvaptan
Trabectedin
Trazodone
Tucatinib
Ubrogepant
Ulipristal
Upadacitinib
Valbenazine
Vandetanib
Vemurafenib
Venetoclax
Vorapaxar
Voxelotor
Zanubrutinib
Rifapentine ikitumika na dawa hizi, mgonjwa anatakiwa kuwa chini ya uangalizi wa karibu
Abiraterone
Alitretinoin
Almotriptan
Alprazolam
Amiodarone
Amitriptyline
Amlodipine
Aprepitant
Aripiprazole
Atorvastatin
Avanafil
Avatrombopag
Bazedoxifene/conjugated estrogens
Benzhydrocodone/acetaminophen
Bexarotene
Bortezomib
Brentuximab vedotin
Brexpiprazole
Budesonide
Buprenorphine
Buprenorphine a kuweka mdomoni
Buprenorphine, a kufanya kazi muda mrefu
Buspirone
Cabazitaxel
Calcifediol
Cannabidiol
Carbamazepine
Carvedilol
Chlorpropamide
Cilostazol
Cinacalcet
Clobetasone
Clomipramine
Clopidogrel
Clozapine
Colchicine
Conivaptan
Conjugated estrogens
Conjugated estrogens, a kuweka kwenye uke
Cortisone
Crizotinib
Cyclosporine
Darifenacin
Darunavir
Dasatinib
Desipramine
Dexamethasone
Diazepam
Diazepam a kuweka puani
Digoxin
Diltiazem
Dronabinol
Elagolix
Eletriptan
Eltrombopag
Erlotinib
Estradiol
Estradiol vaginal
Estrogens conjugated synthetic
Estrogens esterified
Estropipate
Ethotoin
Etonogestrel
Etoposide
Etravirine
Exemestane
Felodipine
Fentanyl
Fentanyl intranasal
Fentanyl transdermal
Fentanyl transmucosal
Fesoterodine
Flibanserin
Fludrocortisone
Fosamprenavir
Fosphenytoin
Gefitinib
Glecaprevir/pibrentasvir
Glimepiride
Glipizide
Glyburide
Guanfacine
Hydrocodone
Hydrocortisone
Hydroxyprogesterone caproate
Ifosfamide
Iloperidone
Imipramine
Indinavir
Ixabepilone
Lapatinib
Lesinurad
Levamlodipine
Levonorgestrel intrauterine
Levonorgestrel oral
Levonorgestrel oral/ethinylestradiol/ferrous bisglycinate
Linagliptin
Lopinavir
Losartan
Maraviroc
Medroxyprogesterone
Mestranol
Methadone
Methylprednisolone
Metoprolol
Midazolam
Mifepristone
Nateglinide
Nelfinavir
Nevirapine
Nicardipine
Nifedipine
Nilotinib
Nisoldipine
Oliceridine
Osilodrostat
Ospemifene
Oxycodone
Paclitaxel
Paclitaxel protein bound
Parecoxib
Pazopanib
Phenytoin
Pimavanserin
Pitolisant
Polatuzumab vedotin
Prednisolone
Prednisone
Propranolol
Quetiapine
Quinidine
Repaglinide
Ribociclib
Riociguat
Ritonavir
Saquinavir
Selexipag
Sildenafil
Sodium picosulfate/magnesium oxide/anhydrous citric acid
Solifenacin
Sorafenib
Sufentanil sl
Sunitinib
Suvorexant
Tacrolimus
Tadalafil
Tamoxifen
Tasimelteon
Temsirolimus
Terbinafine
Theophylline
Ticagrelor
Tinidazole
Tipranavir
Tofacitinib
Tolazamide
Tolbutamide
Tolterodine
Toremifene
Tramadol
Triamcinolone acetonide injectable suspension
Triazolam
Vardenafil
Verapamil
Vilazodone
Voriconazole
Vortioxetine
Warfarin
Dawa hizi zinamwingiliano mdogo na rifapentine
Alfentanil
Alfuzosin
Alosetron
Ambrisentan
Armodafinil
Atazanavir
Bosentan
Buprenorphine a kupandikiza chini ya ngozi
Celecoxib
Cevimeline
Clarithromycin
Dapsone
Diclofenac
Disopyramide
Docetaxel
Donepezil
Doxorubicin
Doxorubicin liposomal
Dutasteride
Efavirenz
Eplerenone
Eucalyptus
Finasteride
Flurbiprofen
Fluvastatin
Galantamine
Ibuprofen
Ibuprofen iv
Imatinib
Isradipine
Itraconazole
Ketoconazole
Lansoprazole
Meloxicam
Montelukast
Nimodipine
Nitrendipine
Ondansetron
Oxybutynin
Paclitaxel
Paclitaxel protein bound
Parecoxib
Pimozide
Pioglitazone
Piroxicam
Propafenone
Quinine
Rabeprazole
Ramelteon
Saxagliptin
Sufentanil
Sulfamethoxazole
Tolbutamide
Vinblastine
Vincristine
Vincristine liposomal
Vinorelbine
Voriconazole
Zaleplon
Ziprasidone
Zolpidem
Zonisamide
Maudhi madogo ya rifapentine
Kuongezeka kwa kiwango cha uric acid kwenye damu
Kuongezeka kwa shinikizo la damu
Maumivu ya kichwa
Kizunguzungu
Muwasho
Chunusi
Kuishiwa hamu ya kula
Kuharisha
Kiungulia
Upungufu wa neutrophil
Upungufu wa lymphocyte
Ongezeko la uzalishaji wa chembe sahani za damu
Maumivu
Maumivu ya maungo ya mwili
Mkojo kuwa na usaha
Ongezeko la vimengenya AST/ALT
Kukojoa damu
Kukohoa damu
Protini kwenye mkojo
Endapo umesahau kutumia rifapentine ufanyaje
Endapo umesahau kunywa dozi, kunywa mara pale utakapokumbuka, na endapo muda wa dozi nyingine umekaribia sana, acha dozi uliyosahau kisha subiri muda ufike na uendelee na dozi kama ulivyoshauriwa na daktari wako.
ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
23 Julai 2023 16:54:56
Rejea za mada hii:-