Mwandishi:
Dkt. Sospeter M, MD
Mhariri:
Dkt. Lugonda B, MD
20 Juni 2021 14:24:37
Nifedipine
Nifedipine ni dawa ya kutibu shinikizo la juu la damu pamoja na kuzuia tatizo la anjain.
Kundi la dawa
Nifedipine ipo kwenye kundi la dawa linaloitwa kalisiamu chaneli bloka.
Majina ya kibiashara
Nifedipinehuuzwa kwenye majina mengine yakibiashara kama;
Nepin SR
Procardia XL
Adalat CC
Procardia
Jina la kikemia la nifedipine ni 3,5-pyridinedicarboxylic acid, 1,4-dihydro-2,6-dimethyl-4Â (2-nitrophenyl)-, dimethyl ester, C17H18N2O6.
Fomu na uzito wa dawa
Nifedipine hupatikana katika fomu ya tembe au kidonge cha kumeza.
Tembe au vidonge vinaweza kuwa vya uzito wa miligramu;
10
20
30
60
90
Ufanyaji kazi wa Nifedipine
Ufanyaji kazi wa misuli hutegemea uwepo wa madini ya kalisiamu. Kuingia kwa Kalisimu ndani ya chembe za misuli husaidia misuli kujongea, misuli ya mishipa ya damu inapojongea, huleta shinikizo la damu ndani ya mishipa.
Moyo pia unahitaji madini haya ili uweze kufanya kazi ya kusukuma damu mwilini. Dawa za kalisiamu chaneli bloka hupunguza kiasi cha madini haya kinachoingia kwenye chembe za misuli hivyo kuizuai isijongee na matokeo yake ni kuongeza kipenyo cha mishipa ya damu na kupunguwa kwa shinikizo la ndani ya mishipa ya damu.
Dawa ya nifedipine ina uwezo mkubwa wa kuzuia kujongea kwa mishipa ya damu ndani ya ubongo kuliko mishipa ya damu sehemu nyingine ya mwili, hii ndo maana hutumika kwa wagonjwa wenye ugonjwa wa wenye hemoreji ya sabuarakinoidi
Dawa zilizo kundi moja na Nifedipine
Dawa zingine zilizo kwenye kundi moja na dawa ya nifedipine ni;
Felodipine
Isradipine
Nicardipine
Levamlodipine
Nicardipine
Nisoldipine
Nitrendipine
Nifedipine hutibu nini?
Hutumika kutibu maumivu ya moyo kutokana na anjaina
Hutumika kutibu shinikizo la juu la damu
Kutibu shinikizo la damu la kwenye mapafu
Upekee wa Nifedipine
Hakuna upekee wa dawa hii na dawa zingine za kwenye kundi hili la kalisiamu Chaneli Blocka.
Matumizi ya Nifedipine na dawa zingine
Dawa hii haipaswi kutumika pamoja na dawa zifuatazo
Abametapir
Afatinib
Amlodipine
Apalutamide
Dihydroergotamine
Dihydroergotamine intranasal
Edoxaban
Ergotamine
Erythromycin base
Erythromycin ethylsuccinate
Erythromycin lactobionate
Erythromycin stearate
Everolimus
Fosphenytoin
Idelalisib
Ivosidenib
Lofexidine
Lonafarnib
Lovastatin
Nefazodone
Phenytoin
Pimozide
Pirfenidone
Pomalidomide
Ranolazine
Riociguat
Silodosin
Simvastatin
Sirolimus
Tolvaptan
Tucatinib
Venetoclax
Voxelotor
Dawa zinazohitaji uangalizi wa karibu endapo zitatumika pamoja na nifedipine;
Acebutolol
Aldesleukin
Alfuzosin
Alitretinoin
Almotriptan
Alprazolam
Amifostine
Amikacin
Amiodarone
Amitriptyline
Amlodipine
Aprepitant
Aripiprazole
Artemether/lumefantrine
Asenapine
Atenolol
Atorvastatin
Avanafil
Avapritinib
Axitinib
Bazedoxifene/conjugated estrogens
Betaxolol
Betrixaban
Bisoprolol
Bortezomib
Bosentan
Bretylium
Budesonide
Buspirone
Calcium acetate
Calcium carbonate
Calcium chloride
Calcium citrate
Calcium gluconate
Carbamazepine
Carbidopa
Carvedilol
Celiprolol
Cenobamate
Ceritinib
Cilostazol
Cimetidine
Cinacalcet
Clarithromycin
Clevidipine
Clobetasone
Clozapine
Cobicistat
Conivaptan
Conjugated estrogens
Conjugated estrogens, ya kuweka ukeni
Cortisone
Crizotinib
Crofelemer
Cyclosporine
Dabigatran
Dabrafenib
Darifenacin
Darunavir
Dasatinib
Deferasirox
Deflazacort
Desipramine
Dexamethasone
Diazepam
Digoxin
Diltiazem
Docetaxel
Doxazosin
Doxorubicin
Doxorubicin liposomal
Dronedarone
Duvelisib
Efavirenz
Elagolix
Eletriptan
Elvitegravir/cobicistat/emtricitabine/tenofovir df
Encorafenib
Enzalutamide
Erlotinib
Erythromycin base
Erythromycin ethylsuccinate
Erythromycin lactobionate
Erythromycin stearate
Eslicarbazepine acetate
Esmolol
Estradiol
Estrogens conjugated synthetic
Estropipate
Etonogestrel
Etravirine
Fedratinib
Felodipine
Fesoterodine
Flibanserin
Fludrocortisone
Fluoxetine
Fluvoxamine
Fosamprenavir
Gentamicin
Glecaprevir/pibrentasvir
Grapefruit
Hydrocortisone
Hydroxyprogesterone caproate
Iloperidone
Imatinib
Indinavir
Irinotecan liposomal
Isoniazid
Isradipine
Istradefylline
Itraconazole
Ivermectin
Ixabepilone
Ketoconazole
Labetalol
Lapatinib
Lasmiditan
Lemborexant
Letermovir
Levodopa
Lomitapide
Loperamide
Lopinavir
Loratadine
Lorlatinib
Lovastatin
Lumefantrine
Lurasidone
Magnesium sulfate
Magnesium supplement
Maraviroc
Mefloquine
Melatonin
Mestranol
Metformin
Methadone
Methylphenidate
Methylprednisolone
Metoprolol
Micafungin
Midazolam
Midazolam ya kuweka puani
Mifepristone
Mitotane
Mizolastine
Moxisylyte
Nadolol
Nafcillin
Naldemedine
Nebivolol
Nelfinavir
Neomycin po
Nevirapine
Nicardipine
Nilotinib
Nintedanib
Nisoldipine
Nitroglycerin ya kuweka njia ya haja kubwa
Nitroglycerin ya kuweka chini ya ulimi
Nitroprusside sodium
Ombitasvir/paritaprevir/ritonavir & dasabuvir
Oxcarbazepine
Paclitaxel
Paclitaxel protein bound
Paliperidone
Paromomycin
Pazopanib
Penbutolol
Pentobarbital
Pentoxifylline
Phenobarbital
Phenoxybenzamine
Phentolamine
Pindolol
Posaconazole
Prazosin
Prednisolone
Prednisone
Primidone
Propranolol
Quetiapine
Quinidine
Repaglinide
Ribociclib
Rifabutin
Rifampin
Rifapentine
Rifaximin
Risperidone
Ritonavir
Rucaparib
Saquinavir
Sildenafil
Silodosin
Sirolimus
Sodium sulfate/magnesium sulfate/potassium chloride
Sodium sulfate/potassium sulfate/magnesium sulfate
Solifenacin
Sotalol
St john's wort
Stiripentol
Streptomycin
Sunitinib
Tacrolimus
Tadalafil
Tazemetostat
Tecovirimat
Temsirolimus
Terazosin
Theophylline
Timolol
Tinidazole
Tipranavir
Tobramycin
Tolterodine
Tolvaptan
Trazodone
Triamcinolone acetonide iya kuchoma
Triazolam
Vardenafil
Verapamil
Vinblastine
Vincristine
Vincristine liposomal
Voriconazole
Warfarin
Xipamide
Wagonjwa wasiopaswa kutumia nifedipine
Dawa hii haipaswi kutumika kwa wagonjwa wenye mzio na dawa hii
Tahadhari ya Nifedipine
Kwa Wagonjwa walioferi moyo kabisa
Wagonjwa wenye shida ya figo na ini
Huweza kuongeza mapigo ya moyo kwenda kasi
Huweza kupelekea shinikizo la chini la damu
Naweza tumia nifedipine na chakula?
Nifedipine ni vema ikatumiwa kwenye tumbo tupo ili ifyonzwe haraka. Kutumia dawa hii muda mfupi kabla au baada ya kula hupunguza ufyonzwaji wa dawa hii.
Vyakula vifuatavyo pia usitumie pamoja na nifedipine
Juisi ya zabibu au zabidi- huongeza ukali wa dawa kushusha shinikizo la damu. Acha kula zabibu angalau siku tatu kabla ya kuanza kutumia dawa hii
Mizizi ya saint john- Hupunguza ufanisi wa dawa
Nifedipine na ujauzito
Soma zaidi kuhusu usalama wa Nifedipine kwenye ujauzito kwenye makala za 'Nifedipine wakati wa ujauzito na kunyonyesha'
Nifedipine wakati wa kunyonyesha
Dawa hii huingia kwenye maziwa ya mama, inashauriwa kutotumia dawa hii endapo unanyonyesha. Kusoma zaidi kuhusu usalama wa nifedipine wakati wa kunyonyesha nenda kwenye makala ya ' Nifedipine wakati wa ujauzito na kunyoneysha' ndani ya tovuti ya ulyclinic.
Maudhi ya dawa nifedipine
Maudhi madogo ya dawa nifedipine yanayotokea sana ni;
Maumivu ya kichwa
Uchovu mkali
Kizunguzungu
Haja ngumu
Kichefuchefu
Maudhi mengine ni;
Maumivu ya misuli
Mabadiliko ya hali
Hofu au wasiwasi
Kikohozi
Kuishiwa pumzi
Hisia za mapigo ya moyo
Kupiga miruzi kwa kifua
Shinikizo la damu la chini
Uvimbe wa aleji
Muwasho wa ngozi
Maumivu ya kifua
Je, kama umesahau kutumia dozi ya Nifedipine ufanyaje?
Kama umesahau kutumia dozi yako ya Nifedipin, unapaswa kunywa mara pale utakapokumbuka. Kama muda umekaribia sana, subiria ufike kasha katika dozi uliyoshauriw ana daktari wako.
ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
23 Julai 2023 16:54:56
Rejea za mada hii:-