top of page
Tiba asilia
Tiba asilia katika kurasa hii imejikita kuzungumzia kuhusu mimea mbalimbali na uwezo wake katika matibabu ya magonjwa mbalimbali ya biandamu kutika kwenye ushahidi wa kitafiti.
Dawa asili
Tiba asilia
Uwezo wa dawa za mimea umeendelea kutambuliwa na tafiti mbalimbali zilizofanyika na zinazoendelea kufanyika. Uwezo wake wa kipekee unafahamika kwenye matibabu ya magonjwa mengi kama vidonda vya tumbo, bawasiri, fibroid na saratani mbalimbali. Licha ya kuwa na uwezo wa kitiba, dawa za mimea huondoa sumu ya oksijeni mwilini inayoongeza hatari ya kupata magonjwa sugu yanayozidi kuoongezeka katika karne ya 21
bottom of page