top of page

Dawa asilia za binadamu


Dawa asilia ni dawa ambazo zinatokana moja kwa moja kwenye mimea mbalimbali inayopatikana duniani. Uasilia wa dawa hizi ni kwa sababu hazijabadilishwa na kuwa kwenye fomu ya dawa za kigeni.

DCARDIAHULY01

DCARDIAHULY01 ni dawa asili yenye uwezo wa kutibu moyo uliotanuka, maumivu ya moyo na kusafisha damu.

DCARDIAHULY02

DCARDIAHULY01 ni dawa asili yenye uwezo wa kutibu maumivu ya moyo kutokana na anjaina

DCHOLESRULY01

DCHOLESTULY01 ni dawa asili yenye uwezo wa kushusha kiwango cha lehemu (kolestrol) kwenye damu. Hufahamika kwa majina mengine kama dawa asili ya kuondoa mafuta kwenye moyo na dawa asili ya lehemu.

DHEMOULY01

Dawa DHEMOULY01 ni dawa asili inayotumika kutibu bawasiri, miwasho na maumivu njia ya haka kubwa na choo kigumu. Dawa hii inatokana na mitishamba na ina uwezo mzuri wa kufanya kutibu bawasiri ndani wa wiki chache

DHEMOULY02

DHEMOULY02 ni dawa asili yenye uwezo wa kutibu bawasiri, miwasho na maumivu njia ya haja kubwa na harufu kutoka ukeni. Dawa hii inatokana na miti shamba na ina uwezo mzuri wa kufanya kutibu bawasiri ndani ya wiki mbili.

DIABETULY01

DIABETULY01 ni dawa asili inayofanya kazi ya kutibu kisukari aina a pili kwa kuchpchea kongosho kuzalisha homon insulin.

bottom of page