top of page

Imeandikwa na ULY CLINIC

Orodha ya dawa asili kulingana na matatizo

Dawa asilia ni dawa zenye fomu ya awali ya kikemia kutoka kwenye. Dawa hizo zinazotumika katika tiba asilia zina uwezo mkubwa wa kufanya kazi kama dawa za hospitali au zaidi ya dawa za hospitali. Mambo ya msingi kuzingatiwa wakati wa kuchagua au kutumia dawa asilia ni uchaguzi wa dawa sahihi kwa tatizo lako ambayo utachaguliwa na daktari mtaalamu wa dawa hizo baada ya kusikilizwa na kupimwa tatizo lako na dawa inatakiwa kufahamika mwiko wa matumizi, madhara au maudhi yake kabla ya kutumia dawa.

Muhimu kukumbuka

Watu wengi hufikiria kuwa dawa asilia huwa hazina madhara, ikumbukwe kuwa dawa ni dawa hata kama ni asilia ina madhara yake na inapaswa kuchukuliwa kama dawa zingine.

Orodha ya dawa asilia unazoweza kupata kupitia kutoka kwa madaktari wa tiba mbadala wa ULY CLINIC ni

 1. Dawa ya asili ya kuwashwa mwilini

 2. Dawa ya asili ya kuondoa muwasho

 3. Dawa asili ya muwasho ukeni

 4. Dawa asili ya muwasho sehemu za siri

 5. Dawa asili ya allergy (dawa asili ya aleji, mzio)

 6. Dawa ya asili ya fangasi sugu kwa mwanaume

 7. Dawa ya asili ya fangasi sugu kwa wanaume

 8. Dawa asili ya uric acid (jina dawa asili uriki asidi)

 9. Dawa asili ya amoeba

 10. Dawa sili ya amiba

 11. Dawa asili ya corona

 12. Dawa asili ya asthma (jina jingine asma, pumu ya kifua)

 13. Dawa asili ya pumu ya ngozi

 14. Dawa asili ya nguvu za kiume(dawa asili ya kumfikisha mwanamke kileleni, ujana)

 15. Dawa asili ya kuongeza akili(kuongeza kumbukumbu)

 16. Dawa asili ya appendeksi (appendix, kidole tumbo)

 17. Dawa asili ya arthritis ( maumivu ya viungo)

 18. Dawa sili ya kupunguza aside tumboni (kupunguza acid tumboni)

 19. Dawa asili ya busha

 20. Dawa asili ya bandama

 21. Dawa asilia ya bawasiri

 22. Dawa sili ya brucellosis ( dawa asili ya brucella)

 23. Dawa asili ya baridi yabisi ( rheumatizimu, rheumatism)

 24. Dawa asili ya homon imbalance

 25. Dawa asili za binadamu

 26. Dawa asili ya kurudisha bikra

 27. Dawa asili ya minyoo kwa binadamu

 28. Dawa asili ya kukata bleed( dawa asili ya kukata hedhi)

 29. Dawa asili ya kusimamisha hedhi ( dawa asili ya hedhi, tumbo la hedhi)

 30. Dawa asili ya kusimamisha hedhi kabla haijatokea

 31. Dawa asili ya chembe ya moyo ( chembe moyo,

 32. Dawa asili ya chango la uzazi

 33. Dawa asili ya chunuzi usoni

 34. Dawa asili ya cancer

 35. Dawa asili ya sickle cell ( seli mundu, sikoseli)

 36. Dawaasili ya chunjua ( warts, genital warts)

 37. Dawa asili ya degedege

 38. Dawa asili ya tezi dume

 39. Dawa asili ya matezi

 40. Dawa asili ya mapunye ( vibarango)

 41. Dawa asili ya kuongeza damu ( dawa sili ya damu,

 42. Dawa asili ya kusafisha damu ( mchafuko wa damu)

 43. Dawa asili ya degedege kwa watoto

 44. Dawa asili ya pid

 45. Dawa asili ya damu kutoka ukeni

 46. Dawa asili ya damu ya hedhi (hedhi)

 47. Dawa asili ya damu kwa mjamzito

 48. Dawa asili ya damu kutoka

 49. Dawa asili ya dengue

 50. Dawa asili ya kuzuia mimba

 51. Dawa asili ya ebola

 52. Dawa sili ya eczema ( izima)

 53. Dawa asili ya edema ( miguu kujaa maji)

 54. Dawa asili ya tumbo la kuharisha

 55. Dawa asili ya henia(hernia)

 56. Dawa sili ya fangasi sugu ( ukeni,

 57. Dawa sili ya figo

 58. Dawa asili ya fangasi miguuni (fungus miguuni)

 59. Dawa asili ya fibroid ( uvimbe kwenye kizazi)

 60. Dawa asili ya fizi kuvimba ( dawa sili ya maumivu ya fizi)

 61. Dawa sili ya fistula

 62. Dawa asili ya mafindofindo

 63. Dawa asili ya gesi tumboni

 64. Dawa asili ya gono ( gonorrhea, kisonono)

 65. Dawa asili ya gauti

 66. Dawa asili ya ganzi

 67. Dawa asili ya goita ( uvimbe wa tezi thyroid)

 68. Dawa asili ya ngiri ( mshipa wa ngiri, mshipa ngiri, mshipa)

 69. Dawa asili ya goti ( maumivu ya goti, magoti)

 70. Dawa asili ya gumboro

 71. Dawa asili ya homa

 72. Dawa asili ya kushusha homa kwa watoto

 73. Dawa asili ya harufu mbaya ukeni

 74. Dawa asili ya hiv ( vvu)

 75. Dawa asili ya hamu ya kula

 76. Dawa asili ya harufu mbaya ya kinywa ( halitosis, kutoa harufu mdomoni, kunuka mdomo)

 77. Dawa asil ya kujifungua haraka

 78. Dawa ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa

 79. Dawa asili ya kupata hedhi ( dawa sili ya kukosa hedhi, kuamsha hedhi, kurekebisha mzunguko wa hedhi)

 80. Dawa asili ya maumivu ya hedhi ( tumbo la hedhi)

 81. Dawa asili ya kuongeza hips ( kutengeneza shape)

 82. Dawa asili ya malengelenge

 83. Dawa asili ya kutibu homoni

 84. Dawa asili ya uti ( yutiai, utiai)

 85. Dawa asili ya mkojo mchafu ( kusafisha mkojo)

 86. Dawa asili ya ini ( kusafisha ini)

 87. Dawa asili ya vidonda vya tumbo

 88. Dawa asili ya maumivu ya jino

 89. Dawa asili ya jino lililotoboka

 90. Dawa asili ya jicho

 91. Dawa asili ya maumivu ya jicho ( jino kuuma)

 92. Dawa asili ya kuongeza joto ukeni

 93. Dawa sili ya jipu

 94. Dawa asili ya malaria

 95. Dawa asili ya mkanda wa jeshi

 96. Dawa asili ya joint

 97. Dawa asili ya kusafisha kizazi

 98. Dawa sili ya kikohozi ( kikohozi sugu)

 99. Dawa asili ya kikohozi kwa mtoto

 100. Dawa asili ya kutoa mimba

 101. Dawa asili ya kushika mima haraka

 102. Dawa asili ya kuongeza uume ( kunenepesha, kurefusha, kunenepesha mboo)

 103. Dawa asili ya kiharusi ( stroke)

 104. Dawa asili ya kuondoa makovu sugu

 105. Dawa asili ya kufungua mirija ya uzazi

 106. Dawa asili ya kaswende

 107. Dawa asili ya kansa ya koo

 108. Dawa asili ya kansa ya damu

 109. Dawa asili za kansa

 110. Dawa asili ya kansa ya ini

 111. Dawa asili ya kiungulia

 112. Dawa asili ya kifua (nimonia, pneumonia)

 113. Dawa asili ya kisukari

 114. Dawa asili ya kichwa ( kuumwa kichwa)

 115. Dawa asili ya kunenepesha mwili

 116. Dawa asili ya vipele vya ndevu

 117. Dawa asili ya koo

 118. Dawa asili ya vidonda kooni ( vidonda vya koo)

 119. Dawa asili ya kongosho

 120. Dawa asili ya kupevusha mayai

 121. Dawa asili ya kwikwi

 122. Dawa asili ya mafua kwa watoto

 123. Dawa asili ya mafua sugu ( mafua makali)

 124. Dawa asili ya uvimbe kwenye mayai

 125. Dawa asili ya mawe kwenye figo

 126. Dawa asili ya moyo kwenda mbio

 127. Dawa asili ya fangasi kwenye ulimi

 128. Dawa asili ya tumbo la kuharisha

 129. Dawa asili ya nywele laini

 130. Dawa asili ya shinikizo la damu ( presha, presha ya kupanda, kupunguza presha, shinikizo la juu la damu)

 131. Dawa asili ya minyoo

 132. Dawa asili ya mbu

 133. Dawa asili ya mba kichwani

 134. Tiba asili ya mba usoni

 135. Dawa asili ya mba wa ngozi

 136. Dawa asili ya pangusa

 137. Dawa asili ya kuacha pombe

 138. Dawa asili ya mchwa

 139. Tiba asili ya mdalasini

 140. Dawa asili ya meno kufa ganzi

 141. Dawa asili ya mgongo ( maumivu ya mgongo)

 142. Dawa asili ya uti wa mgongo

 143. Dawa asili ya kiuno( maumivu)

 144. Dawa asili ya mifupa ( maumivu)

 145. Dawa asili ya miguu kuwaka moto)

 146. Dawa asili ya miguu kufa ganzi

 147. Dawa asili ya mafua kwa mjamzito

 148. Dawa asili ya meno kwa mjamzito (jino)

 149. Dawa asili ya uti kwa mjamzito

 150. Dawa asili nzuri kwa mjamzito

 151. Dawa asili ya uke mkavu

 152. Dawa asili ya kibofu cha mkojo

 153. Dawa ya mlonge

 154. Dawa ya mlipulipu

 155. Dawa ya mlingo

 156. Dawa ya mnyonyo

 157. Dawa asili ya moyo ( moyo kutanuka)

 158. Dawa asili ya uzazi wa mpango

 159. Dawa asili ya mtoto wa jicho ( cataract, ukungu wa jicho)

 160. Dawa asili ya kupata mtoto

 161. Dawa asili ya mtoto kutembea haraka

 162. Dawa sili ya kifua kwa mtoto

 163. Dawa asili ya kuondoa mvu ( mvu)

 164. Dawa asili ya kutoa sumu mwilini

 165. Dawa asili ya nyungunyungu

 166. Dawa asili ya nyongo

 167. Dawa asili ya nimonia(limonia)

 168. Dawa asili ya uchafu ukeni

 169. Dawa asili ya kukuza ndevu

 170. Dawa asili na matumizi yake

 171. Dawa asili y anta masikioni

 172. Dawa asili ya nyege

 173. Dawa asili ya ovarian cyst

 174. Dawa asili ya osteoarthraitis

 175. Dawa asili ya presha ya kushuka

 176. Dawa asili ya psoriasis ( soriasis)

 177. Dawa asili ya nyama za pua

 178. Dawa asili ya kutoka damu puani

 179. Dawa asili ya h.pylori

 180. Dawa asili ya rheumatism ya moyo

 181. Dawa asili ya surua

 182. Dawa asili ya

 183. Dawa asili ya saratani ya kizazi

 184. Dawa asili ya saratani ya matiti

 185. Dawa ya kitunguu swaumu

 186. Dawa asili ya cd4 (sd4)

 187. Dawa asili ya sunzua

 188. Dawa asili ya uvimbe shingoni

 189. Dawa asili ya shahawa ( kuongeza)

 190. Dawa asili ya kuacha sigara

 191. Dawa asili ya sinus

 192. Dawa asili ya homa ya kusinzia

 193. Dawa asili ya small pox

 194. Dawa asili ya sonona

 195. Dawa asili ya typhoid ( taifodi, homa ya matumbo)

 196. Dawa asili ya TB ( kifua kikuu)

 197. Dawa asili ya tonsil ( tonses, tonsesi,

 198. Dawa asili ya tambazi

 199. Dawa asili ya tumbo ( kuuma,)

 200. Dawa ya tangawizi

 201. Dawa asili ya tongotongo

 202. Dawa asili ya tetanus ( tetenasi)

 203. Dawa asili ya ulcer ( vidonda vya tumbo)

 204. Dawa asili ya ugonjwa wa ngozi

 205. Dawa asili ya kubana uke ( uke uliolegea)

 206. Dawa asili ya kipanda uso

 207. Dawa asili ya usingizi (kupata usingizi)

 208. Dawa asili ya madoa usoni

 209. Dawa asili ya varicose vein

 210. Dawa asili ya vichomi

 211. Dawa asili ya wasiwasi na woga

Imeboreshwa 30.06.2021

bottom of page