Mlo tiba
Nyumbani
Dawa A-Z
Dalili & Viashiria A-Z
Magonjwa A-Z
Virutubisho A-Z
Pata tiba
Elimu Afya
Mlo Afya
Maswali & Majibu
Ujauzito
Makundi
About ULY CLINIC Limited
Blog
Mengineyo
Magonjwa sugu ni kama kisukari, shinikizo la damu, pumu, UKIMWI n.k. Kama huna jaza sina
Andika Ndio na aina ya upasuaji kama umewahi kufanyiwa na kama hujawahi kufanyiwa andika Hapana
Jibu Ndio na taja ugonjwa uliofanywa ulazwe na mwaka gani na matibabu uliyopatiwa kama umewahi kulazwa. Jibu Hapana kama hujawahi kulazwa
Jibu Ndiyo au Hapana, kama jibu Ndiyo taja ajali au majeraha uliyowahi kupata
Kama huna dawa unazotumia jibu Situmii dawa
Orodhesha kama unatumia dawa za mitishamba
Jibu Ndio au Hapana. Kama Ndio orodhesha dawa ambazo ukitumia unapata mzio.
Jibu Ndio au Hapana. Kama Ndio orodhesha chakula ambacho ukitumia unapata mzio.
Jibu Ndio au Hapana. Kama Ndio orodhesha vitu vinginevyo ambavyo unamzionavyo na.
Jibu Ndio au Hapana. Kama ndiyo orodhesha Magonjwa ya kurithi au yanayojirudia kwenye familia (mfano shinikizo la damu, kisukari, saratani, magonjwa ya moyo, nk):
Orodhesha ndugu wa tumbo moja na hali zao za Kiafya
Jibu navuta au sivuti na kama unavuta jaza pia kiasi na kwa muda gani sasa unatumia?
Jibu Ndiyo/Hapana, kama Ndiyo andika aina na kiasi na mara ngapi kwa wiki unatumia kilevi?
Andika tabia lishe na mazoezi unayofanya
Chagua dalili zote ulizonazo
Bofya kukubali kwamba maelezo uliyotoa ni sahihi na kweli*