Magonjwa ya zinaa ni magonjwa yanayoeneza kwa kujamiana kama Pangusa, Ukimwi, Kisonono, Gogo, Homa ya Malengelenge sehemu za siri n.k. Baadhi ya dalili za magonjwa ya zinaa ni kutokwa na ute usio wa kawaida kwenye uke au uume,, maumivu wakati wa kujamiana, kutokwa damu wakati wa kujamiana, kutokwa na shahawa zenye damu n.k