top of page

Dodoso maumivu ya tumbo kwa ke

Tafadhali jaza taarifa hizi kwa ufasaha na usahihi ili kumsaidia daktari kufahamu shida yako. Maelezo haya ni siri baina yako na daktari wako.

Je, una ujauzito?
Je, ujauzito una umri gani?
Je, umewahi kulazwa miezi 12 iliyopita?
Unaugua ugonjwa wowote sugu?
Ni ugonjwa gani kati ya haya
Je, una dalili gani nyingine miongoni kati ya zifuatazo? Bofya zaidi ya dalili moja kama unazo.
Je, umetumia dawa yoyote kutibu maumivu ya tumbo?
Je, mpenzi uliyenaye/ulionao ana dalili hii pia?
Je, unatuma njia yoyote kujikinga na magonjwa ya zinaa?
Mara ngapi unatumia njia hiyo?
Bofya kupakia picha ya tizo kama ipo
bottom of page