top of page

Dodoso la vidonda Ukeni

Tafadhali jaza taarifa hizi kwa ufasaha na usahihi ili kumsaidia daktari kufahamu shida yako. Maelezo haya ni siri baina yako na daktari wako.

Je, una ujauzito?
Umewahi kulazwa miezi 12 iliyopita?
Unaugua ugonjwa wowote sugu?
Ni ugonjwa gani kati ya haya
Je, una dalili gani nyingine miongoni kati ya zifuatazo? Bofya zaidi ya dalili moja kama unazo.
Je, umetumia dawa yoyote kutibu vidonda hivi?
Je, mpenzi uliyenaye/ulionao ana vidonda pia?
Je, unatuma njia yoyote kujikinga na magonjwa ya zinaa?
Mara ngapi unatumia njia hiyo?
Bofya hapa kupakia picha
bottom of page