top of page
Dozi ya dawa
Katika kurasa hii, utajifunza kuhusu dozi ya dawa mbalimbali kulingana na ugonjwa unaotibika na dawa husika. Dozi ya dawa katika kurasa hii imejumuisha dozi ya dawa kwa watoto na watu wazima. Siku zote tafuta msaada kutoka kwa mtaalamu wa afya kabla ya kutumia dawa yoyote kuepuka madhara.
Ili uweze kusoma zaidi kuhusu dawa, magonjwa inayotibu na dozi ya kutumia, jiunge kwanza na huduma kwa 'kubofya hapa'

Dozi ya Misoprostol kutoa mimba
Kutumia misoprostol ukeni husababisha mfuko wa uzazi kujikaza na kutoa ujauzito, ambapo damu na maumivu huanza ndani ya masaa machache na kuendelea kwa siku kadhaa. Ni muhimu kujua dalili za kawaida na hatari ili kutambua lini utafute huduma ya daktari na kuhakikisha usalama wako.
bottom of page
