Imeandikwa na ULY CLINIC
​
​
Makundi ya dawa kulingana na matumizi yake.
​
Yapo makundi aina kadhaa ya dawa, ambayo yameorodheshwa kwenye makala hii yanayotokana na tatizo linalotibiwa na dawa husika.
Kumbuka kabla ya kutumia dawa yoyote ni vema ukawasiliana na daktari wako ili akupe maelekezo ya kitaalamu ya aina ya dawa, dozi gani utumie kulingana na tatizo na hali yako ya kiafya.
Matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari huweza kukutelea madhara makubwa pamoja na kifo, baadhi ya dawa huwa na mwingiliano na dawa zingine.
ULYCLINIC inakushauri ufuateuongee na daktari wako kuhusu dawa unayotaka kutumia na ufuate ushauri wake siku zote.
​
​
Chagua kundi la dawa kuona ni dawa gani zilizopo kwenye kundi hilo;
​
-
Dawa Za Kuongeza Uchavushaji Wa Mayai Na Uzalishaji Wa Mbegu Za Kiume
-
Dawa Za Kutibu Fangasi Wa kanyagio na maeneo katikati ya vidole vya miguu- Tinea pedis
-
Dawa za kushusha shinikizo la juu la damu/dawa za kutibu shinikizo la juu la damu
-
Dawaza kutibu Fangasi wa Usoni
-
Dawa za kutibu konstipesheni(choo kigumu, kukosa haja kubwa)
-
Dawa za kutibu maambukizi ya Kirusi cha Herpes na ugonjwa wa varicella zoster
-
Dawa za kutibu Taifod(homa ya matumbo)
-
Dawa za kutibu chango la tumbo(maumivu ya kunyonga kwa tumbo)
​
Bofya hapa kuonyesha orodha nyingine ya dawa
​
Imeboreshwa 08.06.2021