top of page

Dozi ya dawa

Katika kurasa hii, utajifunza kuhusu dozi ya dawa mbalimbali kulingana na ugonjwa unaotibika na dawa husika. Dozi ya dawa katika kurasa hii imejumuisha dozi ya dawa kwa watoto na watu wazima. Siku zote tafuta msaada kutoka kwa mtaalamu wa afya kabla ya kutumia dawa yoyote kuepuka madhara.

Ili uweze kusoma zaidi kuhusu dawa, magonjwa inayotibu na dozi ya kutumia, jiunge kwanza na huduma kwa 'kubofya hapa'

Dozi ya fangasi ukeni

Dozi ya fangasi ukeni

Fangasi ukeni mara nyingi huwapata wajawazito na wenye upungufu wa kinga, matibabu yake huhusisha matumizi ya dawa kulingana na mwitikio wa fangasi.

Dozi ya vibarango kichwani

Dozi ya vibarango kichwani

Hufahamika pia kama mapunye, ambayo mara nyingi huwapata watoto na husababishwa na fangasi.

Dozi ya vibarango mwilini

Dozi ya vibarango mwilini

Vibarango mwilini vinavyosababishwa na fangasi huweza hutokea sehemu yoyote ya mwili hata hivyo mara huwa maeneo ya miguu na mikono.

Dozi ya mafua ya Aleji

Dozi ya mafua ya Aleji

Huamshwa na viamsha mzio kama vumbi, vumbi katika manyoa ya wanyama n.k. Dawa zinazotumika ni zile zinazozuia kinga ya mwili kupambana na mzio na kuzuia dalili.

bottom of page