top of page

Dozi ya dawa

Katika kurasa hii, utajifunza kuhusu dozi ya dawa mbalimbali kulingana na ugonjwa unaotibika na dawa husika. Dozi ya dawa katika kurasa hii imejumuisha dozi ya dawa kwa watoto na watu wazima. Siku zote tafuta msaada kutoka kwa mtaalamu wa afya kabla ya kutumia dawa yoyote kuepuka madhara.

Ili uweze kusoma zaidi kuhusu dawa, magonjwa inayotibu na dozi ya kutumia, jiunge kwanza na huduma kwa 'kubofya hapa'

Dozi ya UTI kwa mjamzito

Dozi ya UTI kwa mjamzito

Licha ya kusababishwa na vimelea wa UTI, matibabu yake huhitaji umakini kwani baadhi ya dawa huwa na madhara kwenye uumbaji na ukuaji wa mtoto tumboni.

Dozi ya vidonda vya tumbo

Dozi ya vidonda vya tumbo

Vidonda vya tumbo husababishwa na na sababu mbalimbali ikiwamo maambukizi ya bakteria H.pylori na uzalishaji mkubwa wa tindikali tumboni.

Dozi ya taifodi

Dozi ya taifodi

Husababishwa na kimelea salmonella typhi na salmonella paratyphi na hutibika kwa dawa za antibayotiki.

Dozi ya keloid ya sikio

Dozi ya keloid ya sikio

Husababishwa na majeraha kwenye sikio kutokana na kutoboa sikio, ajali au upasuaji.

bottom of page