top of page

Dozi ya dawa

Katika kurasa hii, utajifunza kuhusu dozi ya dawa mbalimbali kulingana na ugonjwa unaotibika na dawa husika. Dozi ya dawa katika kurasa hii imejumuisha dozi ya dawa kwa watoto na watu wazima. Siku zote tafuta msaada kutoka kwa mtaalamu wa afya kabla ya kutumia dawa yoyote kuepuka madhara.

Ili uweze kusoma zaidi kuhusu dawa, magonjwa inayotibu na dozi ya kutumia, jiunge kwanza na huduma kwa 'kubofya hapa'

Dozi ya vidonda vya tumbo

Dozi ya vidonda vya tumbo

Vidonda vya tumbo husababishwa na na sababu mbalimbali ikiwamo maambukizi ya bakteria H.pylori na uzalishaji mkubwa wa tindikali tumboni.

Dozi ya taifodi

Dozi ya taifodi

Husababishwa na kimelea salmonella typhi na salmonella paratyphi na hutibika kwa dawa za antibayotiki.

Dozi ya keloid ya sikio

Dozi ya keloid ya sikio

Husababishwa na majeraha kwenye sikio kutokana na kutoboa sikio, ajali au upasuaji.

Dozi ya keratitisi ya kirusi herpes simplex

Dozi ya keratitisi ya kirusi herpes simplex

Keratitisi ya kirusi herpes simplex ni ugonjwa unaosabaishwa na kirusi herpes unaoshambulia sehemu ya jicho inayoitwa kornea.

bottom of page