top of page

Dozi ya dawa

Katika kurasa hii, utajifunza kuhusu dozi ya dawa mbalimbali kulingana na ugonjwa unaotibika na dawa husika. Dozi ya dawa katika kurasa hii imejumuisha dozi ya dawa kwa watoto na watu wazima. Siku zote tafuta msaada kutoka kwa mtaalamu wa afya kabla ya kutumia dawa yoyote kuepuka madhara.

Ili uweze kusoma zaidi kuhusu dawa, magonjwa inayotibu na dozi ya kutumia, jiunge kwanza na huduma kwa 'kubofya hapa'

Dozi ya UTI

Dozi ya UTI

U.T.I husababishwa sana na bakteria Escherichia coli,Klebsiella pneumonia, spishi za proteus na Staphylococcus aureus 

Dozi ya sunzua sehemu za siri

Dozi ya sunzua sehemu za siri

Sunzua sehemu za siri husababishwa na kirusi human papilloma anayeambukizwa kwa njia ya ngono. Podiphyllin ni miongoni mwa dawa zinazotumika katika matibabu yake.

Dozi ya kutokwa uchafu ukeni

Dozi ya kutokwa uchafu ukeni

Kutoka uchafu usio wa kawaida ukeni ni sindromu inayoweza kusababishwa na magonjwa kama gono, klamidia, bakteria vaginosisi, fangasi na trikomoniasisi. Matibabu hulenga kuua vimelea visababishi.

Dozi ya dawa ya PID

Dozi ya dawa ya PID

PID husababishwa na vimelea wafuatao, Nesseria gonorrhoea, Chlamydia trachomatis, Bakteria wa anerobisi.

bottom of page