top of page

Dozi ya dawa

Katika kurasa hii, utajifunza kuhusu dozi ya dawa mbalimbali kulingana na ugonjwa unaotibika na dawa husika. Dozi ya dawa katika kurasa hii imejumuisha dozi ya dawa kwa watoto na watu wazima. Siku zote tafuta msaada kutoka kwa mtaalamu wa afya kabla ya kutumia dawa yoyote kuepuka madhara.

Ili uweze kusoma zaidi kuhusu dawa, magonjwa inayotibu na dozi ya kutumia, jiunge kwanza na huduma kwa 'kubofya hapa'

Dozi ya Azithromycin

Dozi ya Azithromycin

Azithromycin ni dawa inayotumika kutibu maradhi mbalimbali yanayosababishwa na baktaria kama vile nimonia ya jamii , maambukizi ya ngozi, sinus, ugonjwa wa lyme, baadhi ya magonjwa ya zinaa.

bottom of page