Mwandishi:
Mhariri:
Jumatatu, 21 Machi 2022
Bruseli hupuka
Bruseli hupuka ni zao litokanalo na mimea jamii ya Brassica oleracea, zao hili hutaka kufanana na kabichi lakini huwa na umbo kulinganisha na kabichi.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Bruseli Hupuka
Mafuta
Madini
Sukari
Nyuzilishe
Protini
Vitamini
Kabohaidreti
Maji
Kemikali muhimu zinazopatikana kwenye Bruseli hupuka
Kwenye Bruseli hupuka kuna Kemikali muhimu ambazo ni sulforaphane na phenylethyl isothiocyanates
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Bruseli hupuka zenye gramu 100
Nishati = 179kcal
Mafuta = 0.3g
Maji = 86g
Kabohaidreti = 8.95g
Sukari = 2.2g
Nyuzilishe = 3.8g
Protini = 3.48g
Vitamini zinazopatikana kwenye Bruseli hupuka zenye gramu 100
Vitamini A = 38mcg
Vitamini B1 = 0.139mg
Vitamini B2 = 0.09mg
Vitamini B3 = 0.745mg
Viatmini B5 = 0.309mg
Vitamini B6 = 0.219mg
Vitamini B9 = 61mcg
Vitamini C =85mg
Vitamini E =0.88mg
Vitamini K = 177mcg
Madini yanayopatikana kwenye Bruseli hupuka zenye gramu 100
Kalishiamu = 42mg
Madini Chuma = 1.4mg
Magineziamu = 23mg
Manganaizi = 0.337mg
Fosifolasi = 69mg
Potashiamu = 389mg
Sodiamu = 25mg
Zinki = 0.42mg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Bruseli hupuka
Huimarisha afya ya uzazi kwa wanaume
Himarisha na kuboresha afya moyo
Hupunguza uzito
HKuimarisha na kuboresha mishipa ya damu hivyo kukinga mwili dhidi ya shinikizo la juu la damu
Huimarisha afya ya macho na kuongeza uwezo wa macho kwenye kuona
Imeboreshwa,
21 Machi 2022, 15:48:08
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Brussels sprouts. https://www.nutritionvalue.org/Brussels_sprouts%2C_without_salt%2C_drained%2C_boiled%2C_cooked_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa tarehe 2 February 2022.
Nijhoff WA, Grubben MJ, Nagengast FM, Jansen JB, Verhagen H, van Poppel G, Peters WH. Effects of consumption of Brussels sprouts on intestinal and lymphocytic glutathione S-transferases in humans. Carcinogenesis. 1995 Sep;16(9):2125-8. doi: 10.1093/carcin/16.9.2125. PMID: 7554064. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/7554064/. Imechukuliwa tarehe 2 February 2022.
Hoelzl C, Glatt H, Meinl W, Sontag G, Haidinger G, Kundi M, Simic T, Chakraborty A, Bichler J, Ferk F, Angelis K, Nersesyan A, Knasmüller S. Consumption of Brussels sprouts protects peripheral human lymphocytes against 2-amino-1-methyl-6-phenylimidazo[4,5-b]pyridine (PhIP) and oxidative DNA-damage: results of a controlled human intervention trial. Mol Nutr Food Res. 2008 Mar;52(3):330-41. doi: 10.1002/mnfr.200700406. PMID: 18293303. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/18293303/. Imechukuliwa tarehe 2 February 2022.
Influence of Cooking Methods on Bioactive Compound Content and Antioxidant Activity of Brussels Sprouts Written by Eun-Sun Hwang. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC5758100/. Imechukuliwa tarehe 2 February 2022.