top of page

Kufanya Tafiti za afya na ULY CLINIC

Katika ulimwengu wa mtandao, watu wengi wangependa kukusanya taarifa za haraka na kiurahisi kwa kuwafikia watu wengi.  Tovuti yetu ina  watumiaji wengi kwa siku wafikao 1000  kwenye huduma za afya na hivyo kutumia tovuti yetu na application ya uly clinic itakurahisishia kupata taarifa mbalimbali za kiafya. Makampuni na mashirika mbalimbali mnakaribishwa Kupata data za tafiti kupitia mtandao wetu

​

Kama unataka kupata au kufanya tafiti za afya wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyo kwenye kurasa hii kisha tutakuambia gharama na namna ya kupata Taarifa zako. Tunakuhakikishia utapata taarifa utakazohitaji kwa muda mfupi sana na kutoka maeneo tofauti ya Afrika mashariki zikiwemo Tanzania, Kenya na Uganda

bottom of page