Inachukua muda gani kupona gono baada ya kuanza kutumia dawa?
top of page
To see this working, head to your live site.
Edited: Nov 06, 2021
Inachukua muda gani kupona gono?
Inachukua muda gani kupona gono?
3 answers1 reply
Like
Maoni (4)
bottom of page
Nawashwa mwili pumbu na nikijikuna nasikia raha mnoo ila bdae navimba na inajitokeza vipele vikubwa vilivyo vilia damu hali hii imeanza ktk sehem za Siri ad xaxa ivi mwli mzima unawasha nitumie dawa ipi na je Kama nitakuwa na fangasi naweza kufnya sex uku upo dozi ya fangasi ttz Lina mwez 1 xaxa
Nawashwa mwili pumbu na nikijikuna nasikia raha mnoo ila bdae navimba na inajitokeza vipele vikubwa vilivyo vilia damu hali hii imeanza ktk sehem za Siri ad xaxa ivi mwli mzima unawasha nitumie dawa ipi na je Kama nitakuwa na fangasi naweza kufnya sex uku upo dozi ya fangasi ttz Lina mwez 1
Kama una dalili za gono na ukapata matibabu sahihi, itachukua siku chache kupona na kupotea kwa dalili, hata hivyo inaweza kuchukua hadi wiki 2 mbili endapo kulikuwa na dalili ya maumivu kwenye korodani au ya via ndani ya nyonga.
Soma zaidi kuhusu gono kwa kubofya hapa
Au kuhusu dawa za gono kwa kubofya hapa