Naulza je ugonjwa huu wa seli mundu unatibika na unaisha kabisa au hautibiki? najua seli mundu ndo ugonjwa unaoitwa sickle cell/siko seli naomba kupata majibu
top of page
To see this working, head to your live site.
Ugonjwa wa seli mundu una tiba?
Ugonjwa wa seli mundu una tiba?
1 answer0 replies
Like
Maoni (1)
bottom of page
Ugonjwa wa seli mundu(sickle cell) ni hurithiwa katika vinasaba. Mara nyingi magonjwa ya kurithi huwa hayawezi kuondoka mwilini kwa sababu tatizo linakuwa kwenye seli zinazomtengeneza mtu huyu.
Licha ya kutoisha, dalili za ugonjwa wa seli mundu huwa hazionekanai mapema zaidi wakati wa utoto(mtoto zaidi ya miezi sita ndo anaweza kuonyesha dalili hizi) lakini pia dalili hupungua wakati unapoelekea utu uzima.
Kuna kipindi kinapita bila kuonuesha dalili kwa muda mrefu isipokuwa endapo mtu amepata maambukizi au kufanya kazi nzito anaweza kuonyesha dalili. soma zaidimakala hii kwa kubonyeza hapa