Maelezo kiasi. Mimi nilianza kuumwa wiki tatu zilizopita na nimepata dalili za moyo kwenda mbio, maumivu ya kifua na mwili kuishiwa nguvu yani siwez kutembea vizuri nahisi kizunguzungu baada ya kwenda hospital nikakutwa na malaria lakini baadae hali ilizidi kuendelea na kwenda tena hospital nikapima kipimo kinaumwa Full blood Picture na kukutwa na damu 13 na nikaambiwa Nina upungufu wa madini ya chuma nikashauriwa nitumie vyakula vya kuongeza madini ya chuma nimetumia Leo ni siku ya nne lakini bado sijapata nafuu je tatizo linaweza kuwa ni Nini?
top of page
To see this working, head to your live site.
Upungufu wa damu mwilini
Upungufu wa damu mwilini
1 answer0 replies
Like
Maoni (1)
bottom of page
Upungufu wa damu mwilini kwa jina la kitiba Anemia humaanisha upungufu wa seli nyekundu za damu zinazoitwa hemoglobin. Kiwango cha kawaida cha chembe za damu za haemoglobin kweney mwili wa binadamu ni kati ya gramu 12 mpaka 14 kwa Kila mililita ya damu, kiwango pungufu ya Hapo kwa binadamu husemekana kitaalamu kuwani tatizo la upungufu wa damu. Kwa Mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) viwango vya himoglobin mwilini hutofautiana kati ya jinsia moja na nyingine, umbali kutoka usawa wa bahari, ujauzito, uvutaji wa sigara.
Visababishi vya upungufu wa damu mwilini Kisababishi kikuu vya kupungukiwa damu mwilini huwa ni kupata lishe duni haswa yenye upungufu wa madini chuma na vitamin B12 na A. visababishi hivi vinaweza kuwekwa kwenye makundi kama yalivyoorodheshwa kwenye tovuti ya ULY CLINIC kwa kubonyeza hapa utaendelea kusoma makala hii.