top of page
Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:

Dr.Sospeter Mangwella, MD

ULY CLINIC

15 Juni 2025, 09:00:16

Damu au kinyama mimba ya mwezi mmoja ikiharibika (1).jpg

Picha ya vipele vya UKIMWI

UKIMWI unaweza kusababisha vipele vya aina mbalimbali, mtu mwenye vipele anaweza kupata kutokana na sababu nyingine mbali na ugonjwa wa UKIMWI. Hata hivyo ifahamike kuwa, kuugua UKIMWI au ugonjwa mwingine unaosababishwa upungufu wa kinga mwilini, huweka mwili kwenye hatari ya kupata magonjwa mbalimbali ya ngozi yanayoleta mwinekano wa vipele. Huwezi tambua UKIMWI kwa kuangalia uwepo wa vipele kwenye ngozi, bali ni kwa kufanya vipimo tu. Picha ya vipele zinazofuata zinaweza kusababishwa na UKIMWI au magonjwa mengine ya ngozi yasiyohusiana kabisa na UKIMWI. Wasiliana na Daktari wako kwa uchunguzi endapo unapata vipele hivi na huna uhakika vnasababishwa na nini.





PPE
PPE



PPE
PPE










Sunzua

Sunzua
Sunzua


Herpes

Herpes

Mkanda wa jeshi

Kumbuka makala hii imejibu sehemu ya maswali yanayohusu dalili za UKIMWI kwenye ngozi na aina ya vipele vya UKIMWI. Kwa maelezo zaidi soma katika makala ya dalili za UKIMWI kwenye ngozi sehemu nyingine katika tovuti hii.


Video inayoelezea majina ya vipele

Ingia kwenye video ya vipele vya ukimwi kuona picha na maelezo ya ziada kuhusu vipele vya ukimwi. Pia unaweza kupata maelezo zaidi katika makala ya vipele vya ukimwi.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

bottom of page