Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
Dr.Sospeter Mangwella, MD
ULY CLINIC
15 Juni 2025, 08:53:35
Siku za kushika mimba- Mzunguko wa siku 30
Ukurasa huu utakuwa na video mbalimbali zinazoonyesha siku ya kushika mimba na namna ya kushika mimba katika mzunguko wa hedhi wa siku 30 tu. Fuatilia kwa uendelevu kwa kuwa kila mwezi kutakuwa na video mpya inayoonyesha tarehe za kujamiana pasipo kinga ili kushika mimba.
Siku za kushika mimba mwezi Februari 2025- Mzunguko wa hedhi wa siku 30
Siku za kushika mimba mwezi Novemba 2024- Mzunguko wa hedhi wa siku 30
Siku za kushika mimba mwezi Disemba 2024- Mzunguko wa hedhi wa siku 30
Siku za kushika mimba mwezi Januari 2024- Mzunguko wa hedhi wa siku 30
Maelezo ya mizunguko mingine mbali na mzunguko wa siku 30
Jifunze kuhusu tarehe za kushika mimba kwenye mizunguko mingine kwa kubofya mzunguko halisi
Wapi utapata maelezo zaidi ya mizunguko mingine?
Je mzunguko wako haupo kwenye mizunguko iliyoorodheshwa? Wasiliana na daktari wako au uliza kwa madaktari wetu. Toa pendekezo la mzunguko wako kuwa unatolewa maelezo kwenye sanduku la maoni au kiboksi cha ujumbe kulia.
Rejea za mada:
Mayo Clinic Staff. Ovulation: When and how it happens. Mayo Clinic. 2023. Available from: https://www.mayoclinic.org/healthy-lifestyle/getting-pregnant/in-depth/ovulation/art-20043856. Accessed June 15, 2025.
American College of Obstetricians and Gynecologists (ACOG). Understanding the menstrual cycle. ACOG. 2022. Available from: https://www.acog.org/womens-health/faqs/understanding-the-menstrual-cycle. Accessed June 15, 2025.
NHS.uk. When is the best time to get pregnant? NHS. 2024. Available from: https://www.nhs.uk/pregnancy/trying-for-a-baby/trying-to-conceive/. Accessed June 15, 2025.
Stanford Children’s Health. Menstrual Cycle and Ovulation. Stanford Children’s Health. 2023. Available from: https://www.stanfordchildrens.org/en/topic/default?id=menstrual-cycle-ovulation-90-P02072. Accessed June 15, 2025.
Fertility Network UK. Ovulation and fertility: understanding your cycle. Fertility Network UK. 2023. Available from: https://fertilitynetworkuk.org/understanding-your-fertility/. Accessed June 15, 2025.
ULY CLINIC. Siku za hatari kwa mwanamke: Mzunguko wa hedhi na tarehe za kushika mimba. ULY CLINIC Website. 2025. Available from: https://www.ulyclinic.com/siku-za-hatari. Accessed June 15, 2025.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
