top of page
Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
Dr.Sospeter Mangwella, MD
ULY CLINIC
4 Agosti 2025, 12:49:45
Tarehe ya kushika ujauzito
Tarehe ya kushika ujauzito ni tarehe ambayo ova hutolewa kutoka kwenye ovamu. Tarehe hii huweza kuhesabiwa kutoka kwenye tarehe ya kuona hedhi ya mwisho. Video hii ina maelezo ya namna ya kufahamu tarehe ya kushika mimba. Kama umependa video hii, subscribe kwenye channel yetu kwa kupaga ukumbe wa video mpya za afya.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
bottom of page
