top of page
Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:

Dr.Sospeter Mangwella, MD

ULY CLINIC

15 Juni 2025, 09:13:59

UKIMWI husababishwa na nini?

UKIMWI husabaishwa na maambukizi ya kirusi cha UKIMWI kinachoambukizwa kwa njia mbalimbali ambazo zimeandikwa katika video chini.


Virusi vya UKIMWI hufahamika pia kwa jina la VVU au HIV. Kuna aina mbili za Virusi vya UKIMWI, yaani VVU1 na VVU2.


Mara baada ya kuwa kwenye kihatarishi, maambukizi ya VVU yanaweza kugundulika ndani ya siku 10 hadi 90 ikitegemea aina ya kipimo. Tazama video kwa maelezo zaidi.



Dalili za UKIMWI ni kama zifuatazo:


Mara baada ya mtu kupata maambukizi, kwa kawaida huchukua miaka 8 hadi 10 kwa dalili za UKIMWI kuonekana. Dalili za UKIMWI zikionekana humaanisha kuwa kinga ya mwili imekuwa chini zaidi ya kawaida. Kwenye video hii utajifunza dalili za awali ambazo zinaonekana ndani ya siku chache baada ya kupata maambukizi ya VVU.


Rejea za mada
  1. Maambukizi ya virusi vya UKIMWI. https://www.ulyclinic.com/foramu/create-post. Imechukuliwa 2.07.2023

  2. Sax PE, et al. The natural history and clinical features of HIV infection in adults and adolescents. https://www.uptodate.com/contents/search. Imechukuliwa 2.07.2023

  3. Ferri FF. Human immunodeficiency virus. In: Ferri's Clinical Advisor 2020. Elsevier; 2020. https://www.clinicalkey.com. Imechukuliwa 2.07.2023

  4. Hardy WD, et al., eds. HIV testing and counseling. In: Fundamentals of HIV Medicine 2019 Edition. American Academy of HIV Medicine. Oxford University Press; 2019.

  5. AIDS and opportunistic infections. Centers for Disease Control and Prevention. https://www.cdc.gov/hiv/basics/livingwithhiv/opportunisticinfections.html.Imechukuliwa 2.07.2023

  6. Jameson JL, et al., eds. Human immunodeficiency virus disease: AIDS and related disorders. In: Harrison's Principles of Internal Medicine. 20th ed. The McGraw-Hill Companies; 2018. http://accessmedicine.mhmedical.com. Imechukuliwa 2.03.2020

  7. What are HIV and AIDS? HIV.gov.https://www.hiv.gov/hiv-basics/overview/about-hiv-and-aids/what-are-hiv-and-aids. Imechukuliwa 2.07.2023

  8. Sax PE. Acute and early HIV infection: Clinical manifestations and diagnosis. https://www.uptodate.com/contents/search. Imechukuliwa 2.07.2023

  9. Pollack TM, et al. Primary care of the HIV-infected adult. https://www.uptodate.com/contents/search. Imechukuliwa 2.03.2020

  10. About HIV/AIDS. Centers for Disease Control and Prevention. https://www.cdc.gov/hiv/basics/whatishiv.html. Imechukuliwa 2.07,2023

  11. HIV Basics. PEP. Centers for Disease Control and Prevention. https://www.cdc.gov/hiv/basics/pep.html. Imechukuliwa 2.03.2020

  12. ULY CLINIC doctor. Vihatarishi vya Maambukizi ya VVU.Imechukuliwa 2.07.2023

  13. Testing overview. HIV.gov. https://www.hiv.gov/hiv-basics/hiv-testing/learn-about-hiv-testing/hiv-testing-overview.Imechukuliwa 2.07,2023

  14. HIV/AIDS: The basics. AIDSinfo. https://aidsinfo.nih.gov/understanding-hiv-aids/fact-sheets/19/45/hiv-aids--the-basics/. Imechukuliwa 2.07.2023

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

bottom of page