top of page
Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
Dr.Sospeter Mangwella, MD
ULY CLINIC
4 Agosti 2025, 12:50:12
Uume kutoa usaha
Video hii ina maelezo ya msingi kuhusu visababishi vyote vya kutokwa na usaha kwebye uume.
Kwa maelezo zaidi, soma makala ya uume kutoa usaha kwenye tovuti hii.
Kwa video mpya za afya, subscribe kwenye youtube channel ya ULYCLINIC kwa kubofya profile ya video hapo juu.
Asante kwa kutazama.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
bottom of page
