Tatizo la fangas ukeni
Imeandikwa na madaktari wa uly clinic
Maambukizi ya candida ni kisababishi kikuu cha miwasho kwenye maeneo ya uke na kutoka kwa uchafu ukeni. Tatizo hili huambatana na michomo sehemu za siri inayosababishwa na maambukizi ya fangasi jamii ya candida. Michomo hii hudhihilishwa kwa kubadilika rangi maeneo hayo(kuwa mekundu) kuwashwa.
Katika sehemu hii tunazungumzia kuhusu dalili, kutambua tatizo na matibabu
Epidemiolojia
Tatizo hili huwa la pili katika kusababisha miwasho sehemu za siri baada ya maambukizi ya bakteria na hutokea sawa kwa wanawake kipindi ambaco wameshabalehe
Endelea kusoma kuhusu, Dalili, Vihatarishi, Uchunguzi, Matibabu
Pata tiba na dawa kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC kwa kuwasiliana na namba za chini chini ya tovuti hii, huduma zitakufikia ulipo.
