top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

3 Aprili 2026, 03:03:48

1/12 maana yake ni nini?

1/12 maana yake ni nini?

Katika tiba 1/12 humaanisha mwezi mmoja kati ya miezi 12 ya mwaka.


Endapo dozi ya dawa imeandikwa juu ya namba 12 humaanisha dawa hiyo itumike katika mwezi (miezi hiyo). Mfano dawa iliyoandikwa 2/12 inamaanisha dawa itumike kwa muda wa mwezi moja tu.


Maana nyingine ya namba iliyo juu ya 12

Maana nyingine ya namba iliyo juu ya 12 katika tiba humaanisha ‘muda wa dozi nzima kwa mwezi katika mwaka’ mfano;

1. 2/12 humaanisha dozi ya miezi 2

2. 3/12 humaanisha dozi ya miezi 3

3. 4/12 humaanisha dozi ya miezi 4

4. n.k

Imeandikwa:

3 Aprili 2026, 03:03:30

bottom of page