top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

3 Aprili 2026, 03:03:50

1/52  maana yake ni nini?

1/52 maana yake ni nini?

Katika tiba na cheti cha dawa namba iliyoandikwa juu ya 52 humaanisha idadi ya wiki dawa inapaswa kutumika kati ya wiki 52 za mwaka.

Kama dozi ya dawa imeandikwa juu ya namba 52 humaanisha dawa hiyo itumike katika wiki hizo. Mfano dawa iliyoandikwa 1/52 inamaanisha dawa itumike kwa muda wa wiki moja tu.


Maana nyingine ya namba iliyo juu ya 52

Maana nyingine ya namba iliyo juu ya 52 katika tiba humaanisha ‘muda wa dozi nzima katika wiki 52 ya mwaka’ mfano

1. 2/52 humaanisha dozi ya wiki 2

2. 3/52 humaanisha dozi ya wiki 3

3. 4/52 humaanisha dozi ya wiki 4

4. n.k

Imeandikwa:

3 Aprili 2026, 03:03:30

bottom of page