top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
3 Aprili 2026, 06:05:10
a.c kirefu chake ni nini?
a.c katika tiba na cheti cha dawa ni kifupi cha neno la Kilatini "ante cibum", lenye maana ya kabla ya kula.
Neno a.c linapotumia kwenye cheti cha dawa humaanisha dawa hiyo itumike ‘kabla ya kula chakula’.
Vifupisho vyenye maana sawa na ‘a.c’
Baadhi ya wataalamu wa afya hutumia vifupisho vya A.C au ‘ac’ au ‘AC’ katika cheti cha dawa au matibabu ya mgonjwa kumaanisha a.c
Imeandikwa:
3 Aprili 2026, 06:03:30
bottom of page
