top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
2 Februari 2026, 04:57:00

Acute prostatitis ni nini?
Acute prostatitis ni neno tiba lenye jina jingine la kiswahili la "Homa kali ya ghafla ya tezi dume" au "Prostataitis kali ya ghafla", ambayo ni maambukizi makali ya ghafla ya tezi dume yanayosababishwa mara nyingi na bakteria. Maambukizi haya husababisha kuvimba kwa tezi dume hivyo na kufanya ugumu wa kutoa mkojo au maumivu wakati wa kukojoa.
Dalili kuu (muhtasari)
Zinaweza kujumuisha:
Maumivu wakati wa kukojoa
Kukojoa mara kwa mara
Kushindwa kumaliza mkojo vizuri
Maumivu ya chini ya tumbo au nyonga
Homa au kujisikia mgonjwa
Wakati mwingine maumivu katika kinena
Imeandikwa:
23 Machi 2025, 14:19:27
bottom of page
