top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

2 Februari 2026, 05:01:40

Acute pulmonary edema

Acute pulmonary edema ni nini?



Acute pulmonary edema ni neno tiba lenye jina jingine la "Idima ya ghafla ya mapafu" au "Uvimbe maji mkali wa mapafu" au "Idima ya palimonari" ambayo ni hali ya ghafla ambapo maji au majimaji huzidi kujikusanya ndani ya mapafu, hasa kwenye sehemu zinazopitisha hewa, na hivyo kufanya upumuaji kuwa mgumu. Hali hii hutokea pale mfumo wa mzunguko wa damu unaposhindwa kusukuma damu vizuri kupitia mapafu, au sababu nyingine zinazosababisha shinikizo na uvujaji wa maji kwenye tishu za mapafu.

Imeandikwa:

23 Machi 2025, 14:19:27

bottom of page