top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

2 Februari 2026, 05:08:31

Acute sickle cell disease

Acute sickle cell disease ni nini?

Acute sickle cell disease ni kipindi cha kuzidi ghafla kwa dalili kali kwa watu wenye ugonjwa wa seli mundu, ambapo seli nyekundu za damu zinakuwa ngumu na za umbo la mundu.Katika hatua hii ya ghafla, hali inaweza kupelekea maumivu makali, upungufu wa oksijeni kwenye tishu, au matatizo mengine yanayotokana na seli hizo kukwama kwenye mishipa midogo.


Kwa Kiswahili, istilahi zinazotumika ni Ugonjwa mkali wa ghafla wa seli mundu au Ugonjwa mkali wa seli mundu.

Imeandikwa:

23 Machi 2025, 14:19:27

bottom of page