top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

2 Februari 2026, 05:28:08

Acute upper Airway Obstruction

Acute upper Airway Obst ruction ni nini?

Acute upper airway obstruction ni neno tiba lenye jina jingine la "Kuziba ghafla kwa njia ya juu ya mfumo wa upumuaji" ambapo ni hali ya kuziba kwa ghafla katika sehemu ya juu ya mfumo wa upumuaji ikiwemo pua, koo, sehemu ya juu ya koromeo, au sehemu ya juu ya trakea. Kuziba huku kunazuia hewa kuingia au kutoka kama kawaida.


Hali inaweza kutokea kutokana na uvimbe, uwepo wa kitu kigeni, mzio mkali, maambukizi yanayosababisha tishu kuvimba, au kuzorota kwa misuli ya njia ya hewa.

Acute upper airway obstruction hufahamika pia kwa jingine la Kiswahili kama, Kuziba ghafla kwa njia za juu za hewa.

Imeandikwa:

23 Machi 2025, 14:19:27

bottom of page