top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

2 Februari 2026, 05:41:44

Adrenal crisis

Adrenal crisis

Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Mshtuko wa tezi Adrenali" au "Mshituko wa Adrenali".


Pia, inaweza kuelezwa kwa lugha rahisi kama "hali hatari inayotokea kutokana na upungufu mkubwa wa homoni za adrenali, hususan kotiso, inayopelekea shinikizo la damu kushuka na mshtuko wa mwili".

Imeandikwa:

24 Machi 2025, 17:01:36

bottom of page