top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
2 Februari 2026, 05:37:58
Adrenal insufficiency
Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Kutojitosheleza kwa adreno" au "Upungufu wa homoni adrenali"
Maelezo Rahisi:
Ni hali ambapo tezi za Adrenal (tezi za juu ya figo) zinashindwa kuzalisha homoni za kutosha, hasa Kotiso na wakati mwingine aldosteroni.
Inaweza kuwa ya muda mrefu (Upungufu homoni adrenalini akudumu)Â au ya muda mfupi (Mshituko wa adrenali).
Mfano wake ni ugonjwa wa Addison ya awali.
Imeandikwa:
24 Machi 2025, 16:59:51
bottom of page
