top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

3 Februari 2026, 06:52:59

Aflatoxin

Aflatoxin ni nini?

Aflatoxin hufahamika kwa kiswahili kama "Sumu kuvu" au "Sumu ya mazao", ni kundi la sumu zinazozalishwa na kuvu (fangasi) hususan Aspergillus flavus na Aspergillus parasiticus. Kuvu hawa hukua kwenye mazao kama mahindi, karanga, nafaka, na mbegu za mafuta hasa zinapohifadhiwa kwenye mazingira yenye unyevunyevu na joto. Aflatoxin huweza kusababisha madhara makubwa kiafya, ikiwemo ugonjwa wa ini, sumu kali ya mwili, na kwa viwango vya juu inaweza kuongeza hatari ya saratani ya ini.

Imeandikwa:

23 Machi 2025, 08:45:16

bottom of page